Felix Aweda
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 507
- 145
Ni mtazamo tu maana hata Jay Dee na AY wanayo uwezo wakutosha sana ila wanatofautiana kwa LIFE STYLE.
Kwa niaba yako nampa hongera.
Kwa niaba yako nampa hongera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa shoo zipi anazofanya? tunatakiwa tuvumbue macho sasa. Je analipa kodi ya mapato kama anavyopata?
Anafanya shoo wapi na wapi mpaka anapata hela nyingi hivyo?
ana vitega uchumi vp ambavyo vinampa kipato tofauti na muziki?
Nahitaji kulijua zaidi soko lake la muziki na VYANZO VYA MAPATO kabla sijasema neno katika Uzi MAALUM
hapa anzungumziwa dearmonde wewe kadinda unamleta wa nn, unamuuza??
Pampers ni aina ya diapers,zipo aina nyingi ni sawa na kusema kituo cha mafuta kampuni ya Puma ukasema nipo Sheli ya Puma yote ni makosa,hauwezi kwenda dukani na kusema nipe pampers za pinpon hayo ni makosa,Barabara=Road hauwezi kurudia na pia hauwezi kusema naenda benki ya CRDB ni kosa sema naenda CRDB.
mmh Labda Kama chief kiumbe amemuuzia.. maana ile Gari ilikuwa ya chief kiumbe ..
maafisa ununuzi na wakurugenzi wameweka na 50% commision yao. duuuu hiii ndio tzhakuna vx ya mil 300 hii ni bei serikali
kama hii
![]()
Pampers ni aina ya diapers,zipo aina nyingi ni sawa na kusema kituo cha mafuta kampuni ya Puma ukasema nipo Sheli ya Puma yote ni makosa,hauwezi kwenda dukani na kusema nipe pampers za pinpon hayo ni makosa,Barabara=Road hauwezi kurudia na pia hauwezi kusema naenda benki ya CRDB ni kosa sema naenda CRDB.
We mama umeshaanza kuchanganya madawa, jina sio "kilwa road", ni kilwa.
Tunasema barabara ya kilwa, hatusemi barabara ya kilwa road.
Tunasema barabara ya Morogoro, sio ya Morogoro road.
Hata kwa kingereza huwezi kusema" the road of kilwa road" kwa kiswahili sasa ndio utaonekana kituko maana utalazimika kusema "barabara ya kilwa barabara"
Makosa yanini wewe wakati hata wewe kuna vitu huvijui kuwa vilianzia kwa majina mengine na yakawa mengine baada ya muda hata Yeshua akawa Jesus na unamuita kwa jina hilo kila siku ambalo mwenyewe alipokuwepo hajawahi kulisikia hata siku moja.
Kanata imekuwa Canada ni lini wewe uliita Canada kwa jina lake sahihi Kanata?
Mfano mwingine ni Tabloid, ni nani leo hii a/ukisikia au a/ukisoma neno tabloid a/unalihusisha na vidonge vya dawa?
Dada ulipotelea wapi? nilikumiss sana
Tunasema barabara ya Kilwa Road kama yunavyosema Benki ya NBC au Benki ya CRDB. Hakuna makosa. Ingekuwa tunatumia lugha moja ndio kosa.
Mtu anakuuliza unaenda wapi, unamwambia nakwenda bendera tatu, hizo bendera ziko wapi? au unamwambia nakwenda mnazi mmoja, huo mnazi uko wapi? na hakuna kosa ulifanyalo, ni utamu wa lugha.
Mie mpaka leo makutano ya Msimbazi na Pugu road napaita DMT, hiyo DMT iiko wapi? au wewe uliyezaliwa baada ya kufa DMT hapo utapajuwa? lakini nalo si kosa.
Makosa yanini wewe wakati hata wewe kuna vitu huvijui kuwa vilianzia kwa majina mengine na yakawa mengine baada ya muda hata Yeshua akawa Jesus na unamuita kwa jina hilo kila siku ambalo mwenyewe alipokuwepo hajawahi kulisikia hata siku moja.
Kanata imekuwa Canada ni lini wewe uliita Canada kwa jina lake sahihi Kanata?
Mfano mwingine ni Tabloid, ni nani leo hii a/ukisikia au a/ukisoma neno tabloid a/unalihusisha na vidonge vya dawa?
Mkuu, kwani bango ndio nini!??, hao CRDB wenyewe wamekosea, hutakiwi kusema CRDB Bank, unatakiwa useme CRD Bank au useme tu CRDB.Tuwekee bango la CRDB tukuamini.