Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

Kukosea kupo usitoe kibanzi wakati wewe una liboliti hakuna kitu kama hiko ulichosema..."Barabara ya kilwa au Kilwa Road baaasii"

Labda asiyeijuwa Dar ndio atakosea hilo. Kwetu sisi Kilwa Road ni jina kamili la barabara ya Kilwa Road. Hakuna makosa hapo labda kwa wageni wa Dar.
 
2.jpg

"Ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa mjinga utaachwa unashangaa kumuona Martin Kadinda U-smart anautinga majumba mandinga ya bwana almasi,je hizi tracks za harakati ni ujinga? Hapana nguvu ya mamba ni maji na umaarufu au kutamba kushika namba ni Bahati"

Hakika kama muziki ungekuwa unalipa kutokana na namna unavyoumiza kichwa katika kuandika mashairi basi huyu jamaa angekuwa anaendesha ferrari achana na V8! big up Fid
 
Heeee! jamani mwambien asisahau kumnunulia na Wema naye atambe nalo tena
Huyu si alifungua ofisi nzuri kuzidi hata za matajiri na waajiri wakubwa hapa Tz lakini anachokifanya na ofisi hiyo akieleweki!
Maisha ya Tanzania ni tofauti sana na ni vigumu kuyaelewa saa nyingine, sio ajabu juma hili Kenya wanamuongelea Lupita Nyong'o na Uganda wanamuongelea Stacie Aamito wakati sisi filamu zetu ambazo kiwastani zinatoka kama kumi kwa wiki hazivuki hata mipaka.
Tutaendelea tu kuwapima watu wetu kwa mafanikio ya vitu badala ya kazi wanazozifanya mpaka pale wakifungiwa kuingia baadhi ya nchi.
 
Kilwa Road ni jina tulilolizowea watu wa Dar toka enzi za mkoloni. Haya mambo ya barabara yalikuja baadae.

Mfano leo hii mtu wa zamani wa Dar akikuelekeza makutano ya Mtaa wa Msimbazi na Kilwa Road anakwambia pale DMT wakati DMT ilikufa zamani sana, wa baadae kidogo atakwambia pale KAMATA wakati nayo hali kadhalika ilishakufa wengine wa juzi watakwambia pale Scandinavia na yenyewe haina uhai tena. Hivyo ni vitu vy a kawaida na si makosa.

Leo hii duniani Pampers imekuwa neno mbadala badala ya jina.
Yap pia majina kama Bendera Tatu, Rangitatu, Magogoni, yamebaki kuwa kama yalivyo.
 
92875.jpg

Hivi Marehemu Kanumba hakuwahi kuwa na Range Rover Hebu tufahamisheni na mthaminishe Magari ya kiingereza na hayo ya kijapani


Land Rover Range Rover 5.0 V8 Supercharged Vogue
[TABLE="class: main_det_t"]
[TR]
[TD]Export price:
[/TD]
[TD] € 112.500,-
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date part 1:[/TD]
[TD]New[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 105px"]Stocknummer:[/TD]
[TD="width: 135px"]07011875[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: main_det_t2"]
[TR]
[TD="width: 105px"]Mileage:[/TD]
[TD="width: 135px"]27 km[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Color:[/TD]
[TD]Havana Premium Metallic
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Interior:[/TD]
[TD]Zwart / Black[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: main_det_t3"]
[TR]
[TD="width: 105px"]Fuel:[/TD]
[TD="width: 135px"]Benzine[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Transmission:[/TD]
[TD]Automaat[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Engine Power:[/TD]
[TD]375 KW[/TD]
[/TR]
[/TABLE]




10964200235_2ea5caa3d5.jpg

[h=2]Land Cruiser V8 from £65,220 (Paund)[/h][TABLE="class: main_det_t"]
[TR]
[TD][SIZE=px"4"]Export price:
[/SIZE]
[/TD]
[TD] € 112.500,- (Euro)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Yaani kuna misifa mingine inachefua, HUKUNA MSANII

platinumz sasa anamiliki gari aina ya land cruiser v8 mpya! Rekodi ambayo Haijawai kuvunjwa na msanii yeyote ktk nchi hii! Ikumbukwe v8 ni gari la kifahari linatumiwa na viongoz wa juu nchini km waziri mkuu na baadhi ya mawaziri ! Inakadiriwa kuwa na dhamani ya mil 300! Ni dhahiri shairi huyo kijana sasa ametoka! ! Hongerasana naseeb!
MY TAKE
magari ya kijapani si lolote kwa Mjerumani au Muingereza Endeleeni kumpa sifa za kitoto huyo Diamond kuwa haijawahi kutokea hapa Nchini
 
Marehemu kanumba gari ya gharama aliyowai kumiliki ni lexus which is behind v8! I stand to be corrected!
 
Msanii na Mwanasiasa wooote ni magari yaleyale..... Msaniii miliki kigali kidogo chenye thamani na mvuto sio mijigari ileile broo, posses something Unique embu igeni nini wasanii wenzenu wanamiliki!
Ukipita bila gari watu wataoneshana yule fulani, so tengeneza mazingira ya kuwa na gari ambalo likipita pia watu watageuza shingo zao due to its uniqueness. badilikekeni acheni kukariri magari actually tumechoshwa na magari ya T
 
Kusema barabara ya Kilwa Road si kukosea ni sahihi kabisa. Utabadilishaje jina? "Kilwa Road" ni jina.

Kubadili matamshi si kukosea, ni kutokujuwa, utakuta wengi Kiswahili si lugha mama kwenu ni lazima wenye lugha yetu tuwarekebishe.
We mama umeshaanza kuchanganya madawa, jina sio "kilwa road", ni kilwa.
Tunasema barabara ya kilwa, hatusemi barabara ya kilwa road.
Tunasema barabara ya Morogoro, sio ya Morogoro road.

Hata kwa kingereza huwezi kusema" the road of kilwa road" kwa kiswahili sasa ndio utaonekana kituko maana utalazimika kusema "barabara ya kilwa barabara"
 
Kilwa Road ni jina tulilolizowea watu wa Dar toka enzi za mkoloni. Haya mambo ya barabara yalikuja baadae.

Kumbuka kuwa majina yakisha kuwepo sana hugeuka kuwa maneno, mfano leo hii mtu wa zamani wa Dar akikuelekeza makutano ya Mtaa wa Msimbazi na Pugu Road (Now Nyerere Road) anakwambia pale DMT wakati DMT ilikufa zamani sana, wa baadae kidogo atakwambia pale KAMATA wakati nayo hali kadhalika ilishakufa wengine wa juzi watakwambia pale Scandinavia na yenyewe haina uhai tena. Hivyo ni vitu vy a kawaida na si makosa.

Leo hii duniani Pampers imekuwa neno mbadala badala ya jina.

Pampers ni aina ya diapers,zipo aina nyingi ni sawa na kusema kituo cha mafuta kampuni ya Puma ukasema nipo Sheli ya Puma yote ni makosa,hauwezi kwenda dukani na kusema nipe pampers za pinpon hayo ni makosa,Barabara=Road hauwezi kurudia na pia hauwezi kusema naenda benki ya CRDB ni kosa sema naenda CRDB.
 
Pampers ni aina ya diapers,zipo aina nyingi ni sawa na kusema kituo cha mafuta kampuni ya Puma ukasema nipo Sheli ya Puma yote ni makosa,hauwezi kwenda dukani na kusema nipe pampers za pinpon hayo ni makosa,Barabara=Road hauwezi kurudia na pia hauwezi kusema naenda benki ya CRDB ni kosa sema naenda CRDB.

umeongea point ila hapo kwenye CRDB umechemka mbaya, sasa hivi CRDB haina kirefu kama ilivyokua, Kwaiyo mtu kusema naenda Bank ya CRDB nisawa kabisa...
 
umeongea point ila hapo kwenye CRDB umechemka mbaya, sasa hivi CRDB haina kirefu kama ilivyokua, Kwaiyo mtu kusema naenda Bank ya CRDB nisawa kabisa...

Okay kumbe kwa sasa CRDB sio Cooperative Rural Development Bank na NBC vp nayo inastand alone au nayo ni National Bank of commerce?
 
Back
Top Bottom