Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

Diamond nyota yake ing'aa pesa nje nje gari nzuri tatizo barabara za kibongo dah nouma
 
Kwa hapa tz dogo hafanyi shoo yoyote chini ya mil 10 ! Utakumbuka juzi alifanya shoo mwanza moja tuu mil 27! Za nje ya nchi usiongelee maake bei zake si chini ya mil 32 ela za kitz! Yupo kwenye matangazo na project na coca cola! Kwa hiyo still dogo anadeserve kabisa vitu hivi! Unakumbuka shoo yake ya mlimani city kiingilio kilikua elfu hamsini lakin wa2 walijaa kupita maelezo!

Hizo hela ulizotaja wewe ndio una-sign cheque? #Team Mapoda aka Kina Ivo alias Mapunda
 
Kusema barabara ya Kilwa Road si kukosea ni sahihi kabisa. Utabadilishaje jina? "Kilwa Road" ni jina.

Kubadili matamshi si kukosea, ni kutokujuwa, utakuta wengi Kiswahili si lugha mama kwenu ni lazima wenye lugha yetu tuwarekebishe.

Kukosea kupo usitoe kibanzi wakati wewe una liboliti hakuna kitu kama hiko ulichosema..."Barabara ya kilwa au Kilwa Road baaasii"
 
Msanii wa kizazi kipya diamond platinumz sasa anamiliki gari aina ya land cruiser v8 mpya! Rekodi ambayo Haijawai kuvunjwa na msanii yeyote ktk nchi hii! Ikumbukwe v8 ni gari la kifahari linatumiwa na viongoz wa juu nchini km waziri mkuu na baadhi ya mawaziri ! Inakadiriwa kuwa na dhamani ya mil 300! Ni dhahiri shairi huyo kijana sasa ametoka! ! Hongerasana naseeb!

Tatizo tunawasifia sana hawa wasanii,ndio maana bado,hawafiki katika level ya juu sana even over africa!!kwani kwa sifa tunazowapa ndo zinawafanya wanakuwa mabogasi!!!!ilinishangaza sana pamoja na kwenda katika harusi ya peter okoye wa p square,walipokuja tanzania peter aliweka wazi kuwa hawamfahamu Diamond,hii inareflect kuwa bado anahitaji kufanya juhudi zaidi ili atambulike zaidi,even europe and america,!!!!manaake kufanya shoo kwenye vikumbi vidogo uk,isimpe sifa bali,aone bado na anahitaji kwenda mbele zaidi.!!!kwa gari alonunua hongera yake!!!! but natamani ifike siku nione diamond ana private jet!! yake kama mtanzania akiwa na vision hii nitamuunga mkono 100% keep it up diamond!!
 
Kati ya land cruiser v8 na BMW X6 ipi ina bei kubwa zaidi?.

toyota-land-cruiser-v8_key_9.jpg




bmw-x6-sport_key_10.jpg




LAND CRUISER VX V8 ni bei kubwa kuliko BMW X 6.......V8 INAANZIA GBP 65,000 wakati X6 INAANZIA GBP 48,000 kwa maana hio ukiwa na GBP 48,000 unaweza kuendesha X6 LAKINI HUGUSI VX V8

Toyota Land Cruiser V8 | Specs & Prices | Toyota UK

NCC
 
Kusema barabara ya Kilwa Road si kukosea ni sahihi kabisa. Utabadilishaje jina? "Kilwa Road" ni jina.

Kubadili matamshi si kukosea, ni kutokujuwa, utakuta wengi Kiswahili si lugha mama kwenu ni lazima wenye lugha yetu tuwarekebishe.

Kama ilivyo CRDB Bank. Ile 'B' ni Bank
 
Kusema barabara ya Kilwa Road si kukosea ni sahihi kabisa. Utabadilishaje jina? "Kilwa Road" ni jina.

Kubadili matamshi si kukosea, ni kutokujuwa, utakuta wengi Kiswahili si lugha mama kwenu ni lazima wenye lugha yetu tuwarekebishe.

wenye lugha yenu kina nani nyie wenzetu!?
na mpo lands zipi za Tz!?
 
Hongera diamond maana sisi vijana wezako hatuna gari kama hilo
 
Ahaa ndio mana wema ana speed kweli dada ananusa.
 
Kusema barabara ya Kilwa Road si kukosea ni sahihi kabisa. Utabadilishaje jina? "Kilwa Road" ni jina.

Kubadili matamshi si kukosea, ni kutokujuwa, utakuta wengi Kiswahili si lugha mama kwenu ni lazima wenye lugha yetu tuwarekebishe.
Kubali bure tu bibie kuwa kila mtu ana makosa.
Cha maana kujisahihisha, Barabara ya Kilwa Road ni makosa yaliyojijenga kichwani.
 
Tatizo mnapamba sana! Hongera yake ila hiyo gari siyo mpya ina number B ya mwaka juzi, inamaana amenunua kwa mtu, pia hiyi haifiki thamani hiyo, mpya ni 120 - 160.

V8 VX Toyota landcruiser au Sahara kwa USA au Amazon kwa UK ni mpaka usd 95 alfu bila kulileta na bila kodi. Ni sh ngapi za kibongo? Kodi yake waijua?
 
nakumbuka p square walipokuja bongo waliulizwa juu ya utajir wao wale jamaa walijibu short n clear kuwa wao sio matajir na hawana mali kihvyo kama watu wanavyosema ila wanashukuru mungu kila wanachotaka wanakipata kwa wakat muafaka na wakasema hawapend maswal hayo coz tour yao ni yakimusic sio kujitangaza kuwa ni matajr.. sasa moyon nikajisemea dah indekua mbongo hapo uwiiiii angetiririka hadi vyakuazima angesema vyake.
 
Kuna miradi gani amewekeza ambayo itamwingizia kipato hata aki-fall kimziki leo. Wasani wa bongo wajipange siyo anakufa leo tunaambiwa tuchangie gharama za mazishi.

Sioni sababu ya kumwagia misifa tele msanii anaefanya mambo yasiyokuwa na msaada wowote ktk jamii tujiulize huyo diamond amefanya jambo gani km mchango wake ktk huduma za kijamii zaidi ya majigambo yakununua v8,wasanii wa kibongo waache ulimbukeni,waige mifano wanayoifanya kina chamelion huko kwao uganda
 
lazamami unalo hujuwi magari yanayo toka bandarin asilimia 90 niyazamani lakini kwasababu mdio umekipata na hukuwa nacho nikipya kaka mtowamada hana jipya nawewe tuoneshe jipya lako tulitasmini ongera sana diamond upo juu kuliko wenzako na huna kiburi watachonga sana ma kupakazia sana wakamwambie huyo mganga wao yahaya unazidi kupaa kaza buti plutnum

sijaelewa ulichoandika..

Aliyeelewa atanisaidia!
 
Kwa shoo zipi anazofanya? tunatakiwa tuvumbue macho sasa. Je analipa kodi ya mapato kama anavyopata?
Anafanya shoo wapi na wapi mpaka anapata hela nyingi hivyo?
ana vitega uchumi vp ambavyo vinampa kipato tofauti na muziki?
Nahitaji kulijua zaidi soko lake la muziki na VYANZO VYA MAPATO kabla sijasema neno katika Uzi MAALUM

mkuu umenena point isije ikawa kama ya wema nyumba ya milion 500 kanunua ili tuamini bongomovie inalipa kumbe kuna mtu anayemuweka mjini
 
Back
Top Bottom