Diamond Platinumz ampa milioni 10 Mzee Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa na kufilisika

Mzee makosa mwenyewe amesema m10 anaenda kupandia miti............. Makosa juu ya Makosa
Amenifurahisha sana hilo wazo lake. Anaenda kufukia pesa kwa ajili ya urithi wa watoto. 🤣🤣🤣
 
Jamaa anapenda kiki mno
Humkuti akimsaidia baba yake mzazi aliyemtoa kwenye kiuno chake kwa sababu anajua hakutakuwa na macamera.

Yule mzee anaumwa miguu yupo soko la Magomeni asiende kumpa angalao mtaji wa kufanya biashara inayoeleweka anaenda kusaidia watu waliofilisika zamani.
 
Mondi baba yake mzazi alisha fariki miaka mingi sana.
Muache afanye lile nafsi yake ina farijika.
 

mkuu unatafuta matusi kwa machawa wake
 
Akizingua na hio anafilisika.
Hahaaaa, mwenzangu na mimi ukipoteza elf 50 tu umefilisika.
Anasema anaenda panda miti ,yaani huo ushauri nani kampa au mawazo yake ayabadilishe ,aizalishe hio hela faida ndio apandie miti.
 
Kama baba yake alikuwa hamtaki?

Mimi miaka hio nilimtafutaga mzazi wangu lakini alinikimbia ,sasa leo nianze kujipeleka kumsaidia ? labda kama namsaidia kama mtu baki tu.

Diamond amsaidie kama mtu baki tu kiubinadamu
 
Hahaaaaaa kumbe ni wewe?😀😀
 
That's perfect successful life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…