Nedago
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 908
- 1,350
Inashangaza kuona watanzania wanamshutumu msanii diamond kisa sio hajaenda msibani,
Bali tu hajaposti chochote juu ya kifo cha legend wa bongo fleva Ruge mtahaba R.I.P.
Lakini Mimi nimefatilia hili swala nimeona wasanii wengi wameposti kuhusu kifo hiki tangu siku ya kwanza,
lakini hadi Leo wengi wao hawajagusa msibani,
je misiba imehamia kwenye social medias? Kwamba ukiposti basi umemaliza msiba?,
kama ni hivyo Sawa,lakini sio utamaduni wetu huo,
Na huwezi kumuhukumu mtu wakati hivyo huu msiba ni mkubwa na una siku nyingi za maombolezo,
Kama sio Jana kuna Leo na hadi jumatatu kule kijijini kwa marehemu,
Nadhani watu wangesuburi baada ya msiba kuisha ndipo tumseme lakini now ni mapema Sana,
Nadhani na nyie ni mashahidi kuna wasanii wengi wameposti lakini hawajaenda hadi wakati naandika uzi huu,
mfano,
alikiba.
Vanessa.
sugu.
shetta.
jux.
joh makini nk.
Mbona hao hawasemwi au wao si wasanii wa muhimu?
Au wamemaliza kwenye insta?.
mwacheni tuone hadi jumatatu then jumanne ndio watu mumseme,na si yeye peke yake na wengine wengi,ikifika jumanne tutawajua,
Vipi kuhusu lady j dee? Au yeye haumuhusu?
Mbona Hasemwi? Inabidi muwe specific why diamond?.
The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.