Diamond platinumz anahukumiwa kwa Social media

Diamond hana pakutokea katika hili bora asiende msibani na aendelee kukaa kimya,
ile video yake anacheka huku ameshikilia chupa ya pepsi baada ya fiesta kuahirishwa ime maliza kila kitu.
nadhan hata watangazaji wa clouds watamuona mnafiki akienda maana alionyesha dharau kubwa sana,
Bro hivi unajua lile ni official pepsi commercial na sio kuicheka Fiesta.....
watu tu waliunganisha dots za social media na kuwagombanisha....
Msiingie kingi
 
Hata kama ingekuwa anawacheka Clouds, so what?

Ni kwa kipindi gani Clouds wameacha kucheza nyimbo za Diamond na WCB kwa ujumla? Nini sababu kubwa ya kufanya hivyo?

Diamond kazi yake muziki, unapomwondoa kwenye mainstream maana yake unataka kumwua kwa njaa, je wewe ni wa kufurahiwa?
 
You are right...
But staying to the reality isichukuliwe kizembe kwamba alikuwa anawacheka... Thats all was trying kufwafwanua
 
Mtu mkubwa kwako au kwa wengine? MTU mkubwa Jana kakosa hata kiti kapigwa jua kama muuza mayai?
Hzo ni mamlaka tu ziliamua kufanya hvo, hata hvo kukosa kiti msiban hakuondoi sifa ya mtu...tatizo mna chuki sana na jamaa, kisa kawaacha mbali kwa kila kitu, hata Yesu aliambiwa alipe kodi wakijifanya kutotambua mamlaka yake, ndio alilipa hata hvyo hyo haikuondoa sifa yake...ukiondoa Maghufuli possibly na Kikwete Diamond ndo mtu maarufu zaidi Tanzania kwa watu wa rika zote..huyo ruge msiba wake umekuzwa na vyombo vya habar na hamna kitu hapo...hata nigeria hawamjui
 
Gud analysis,ruge kakuzwa Sana na promo za clouds.

The Future is in Our Brain's Tongue's and Hand's.
 
Hzo ni mamlaka tu ziliamua kufanya hvo, hata hvo kukosa kiti msiban hakuondoi sifa ya mtu...tatizo mna chuki sana na jamaa, kisa kawaacha mbali kwa kila kitu, hata Yesu aliambiwa alipe kodi wakijifanya kutotambua mamlaka yake, ndio alilipa hata hvyo hyo haikuondoa sifa yake...ukiondoa Maghufuli possibly na Kikwete Diamond ndo mtu maarufu zaidi Tanzania kwa watu wa rika zote..huyo ruge msiba wake umekuzwa na vyombo vya habar na hamna kitu hapo...hata nigeria hawamjui
Unaumwa wewe umesahau imaarufu wa lowasa??

BTW leo trump anakuja mazishini kwa ruge, asipokuja anamtuma mwakirishi wake mjiandae kwa povu.

Rip ruge.
 
Back
Top Bottom