Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Bro hivi unajua lile ni official pepsi commercial na sio kuicheka Fiesta.....Diamond hana pakutokea katika hili bora asiende msibani na aendelee kukaa kimya,
ile video yake anacheka huku ameshikilia chupa ya pepsi baada ya fiesta kuahirishwa ime maliza kila kitu.
nadhan hata watangazaji wa clouds watamuona mnafiki akienda maana alionyesha dharau kubwa sana,
watu tu waliunganisha dots za social media na kuwagombanisha....
Msiingie kingi