Diamond platinumz anahukumiwa kwa Social media

Kuna watanzania wengine mpaka saiz hawajui kuwa ruge kafariki na pengine hawajawahi kumsikia, So watu wanaohoji why diamond hajapost au kwenda sioni umuhimu wake kwenye msiba, mpaka Sasa hatua mbalimbali zimeshachukuliwa kwenda kumpumzisha Marehemu Ruge Bila ushiriki wowote au kupost kwa diamond,
Kumpost au kutompost mtu thats personal decision, hujui Nini kinamfanya asipost na pengine akisema sababu ya kutompost huwezi jua pengine hata msiba unawezagawanyika. Ninachojua sio diamond tu Bali kunawatanzania wengi mpaka saiz hawajafanya ivo, usione wewe umepost ukaanza kuhoji na jirani kwa nin hajafanya ivo.
Umepost because of your own feelings, na mwingine hatapost because of his/her feelings
YES WE ARE NOT PERFECT, ITS KNOWN TO EVERYONE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanazania wasivyo na akili timamu, sasa hivi hapa wataiomba serikali Ruge akazikwe makaburi ya kishujaa wakati wengi tunamjuwa Ruge si shujaa bali ni msambaratishaji wa mademu na mzika haki za wasanii.
 


I support Diamond kwa sababu Ruge was never fair to others....he only favored those who kissed his butts and the girls he used to play with. Aliwanyima haki wasanii wengi sana na hakuna mtanzania aliyelalamika hili, ila leo Diamond kanyamaza kwa sababu zilizo dhahiri kabisa eti watanzania wanamsema. Jamani, mbona mko wanafiki hivyo?
 
marehemu alikuwa na ndugu, jamaa na marafiki lakini pia maadui.
walioumia zaidi na msiba ni dhairi familia yake, wafanyakazi wenzake na baadhi ya maadui zake ambao labda walitaka aone mafanikio yao.

wewe upo upande gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu aliwahi sema Sometimes Common sense is not common ,yaani umeongea ukweli and plain ,Account ya Diamond sio ya jamii ni ya kwake anaruhusiwa hata kupost sherehe ,pili Diamond na Ruge sio ndugu ,jamaa wala marafiki ,wanachoshare ni kuwa vijana maarufu kwa tasnia ya burudani na habari basii ,so huu sio msiba mkubwa kwa Diamond infact angefariki jirani yake kule madale ingekuwa msiba mkubwa sana kwa familia yake kuliko huu.

Aidha diamond hakuwahi simama popote na kumtusi ruge wala ruge kumtusi diamond ,Japo walikuwa mahasimu wa kibiashara zaidi ambalo ni jambo la maendeleo mimi natamani vijana nchi nzima tuwe na mabifu dizaini ya ruge na mondi kugombea FURSA ZA PESA ,sasa hizi bifu za mange na dudu baya za kugombea nani shoga nani sio sio za maana .
 
Tatizo lilikuwa wapi ile ni mashindano ya kibiashara yaani leo voda ifilisike unadhani Tigo watatoa pole ,ugomvi wa kibiashara ni ugomvi wa kimaendeleo
 
Ruge alikuwa ni mtu anaekuvuta kama kuna kitu kakiona kwako. Akishakutumia hana tena muda na wewe.

Diamond na ruge hawajahi kuwa na ukaribu wa dhati, ukaribu uliokuwepo mwanzo ulikuwa wa kinafikinafiki tu ili kila mmoja mambo yake yaende.

Kabla Diamond hajatoka alishawahi kwenda THT akakataliwa ( kwa mujibu wa Ruge mwenyewe ).

Baada ya kutoka ndio ukaribu wake na Ruge ukawepo - KUTUMIANA!

Hakuna kitu huwa kinauma kama umetumia gharama kubwa, karibu 100M ku-mbrand Harmonize halafu mtu fulani anamtaka amtumie BURE mpaka SHOW za SHILAWADU.
 
Mtu mkubwa kwako au kwa wengine? MTU mkubwa Jana kakosa hata kiti kapigwa jua kama muuza mayai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…