kuna tatizo EATV...jaribu kufuatlia vyombo vyao vya taarifa mitandaoni...taarifa ni hiyo moja tu...na imewekwa jana jioni following hizi tuhuma juu yao..taarifa hiyo inahusu project ya EBOLA
Heheeeeee alikua anataka dudu tu huyu bora Daimond alimchenjiaaa
teh teh teh reaction yako imenifurahisha, imenifanya niende kuangalia page ya EATV upya ya fb...labda kama walipitiwa ila mtazamo wangu unaonesha kuna tatizo..jana ilikua tar 1, imepita tar 30 patupu and it was after tuhuma...! sichochei chochote ila sijafurahishwa na lile tukio la ajabu sana..tuzo tar 29 usiku, jpili imepita kavu, j3 kwakusua sua ndo wameanza na projectSi vizuri kuanza kutengeneza Mambo ambayo hayawezi kumsaidia Diamond kabisa na katika hili muwe waangalifu sana! Mimi mwenyewe Jana nimeshuhudia ana tangazwa hata kwenye page yao ya fb na kama ni msikilizaji wa radio yao utakubaliana nami!
Nasitegemei kila kipindi wamtangaze bali vipindi vya burudani! Hivi kweli unaweza kusema kuwa EATV kuna tatizo na kutomtangaza Diamond? Mh kuweni makini msije kutengeneza migogoro!
MBONI MHITA
Nimetua Salama. Leo nikiwa kwenye ndege kutokea South Africa niligundua nimekaa na Diamond Platinum. Kwa shangwe na furaha na utaifa wangu nikamsalimia kwa bashasha nikiwa na lengo la kumpongeza. Jamani hiyo pozi aliyonifanyia. Je ucheshi wako mdogo wangu ni wa stage tu au? Bali sikuacha hivyo hivyo wakati wa kushuka nikamwambia mwenzie, kuwa wamfundishe mwenzao kuongea na mashabiki. Jibu lake..."Dada msamehe kakasirika maana kasahau tuzo South". Naomba ujirekebishe mdogo wangu........MBONI MHITA

teh teh teh reaction yako imenifurahisha, imenifanya niende kuangalia page ya EATV upya ya fb...labda kama walipitiwa ila mtazamo wangu unaonesha kuna tatizo..jana ilikua tar 1, imepita tar 30 patupu and it was after tuhuma...! sichochei chochote ila sijafurahishwa na lile tukio la ajabu sana..tuzo tar 29 usiku, jpili imepita kavu, j3 kwakusua sua ndo wameanza na project
Mh Pengine utakuwa kuna kitu unatafuta mmmh kweli unafikiri wanamuonea wivu? Kwani ilikuwa lazima watangaze kila kipindi?Nimegundua unataka wafanye kama Clouds wanavyo fanya !
Tuzungumzie mambo ya msingi basi wakuu.this is gt's forums.mnaonaje mambo ya kidaku muwe mnayabakisha fb.au mnajishtukia?
Naheshimu sana mawazo yako lawyer..lakini kama ukipitia maudhui ya uwepo wa eatv,na diamond anafanya kazi ya maudhi kama yao.tena kaliletea sifa taifa,jamaa walizingua sana...ishu ya usiku wa tarehe 29 ukiiweka tarehe 30 au 1 wakati ww ni mkongwe ktk media unashangaza
Sipati picha alivyokuwa anajichekeshaaa....
Kama swala lilikuwa limetokea usiku wa tarehe 29 likitangazwa tare he 30 au 1 sijaona tatizo kabisa! Labda kama mlitaka lipewe airtime kila kipindi kama walivyo Fanya Clouds!
haya sasa tujiandae na collabo lingine sa iv ni Bracket ft diamond ivo tu
naona raisi aka mista matuzo yupo bongo na kapokelewa vya kutosha vipi timu zomeazomea hawakuwepo airport kutimiza wajibu wao?
Walimzomea kwenye TV zao.
hahaha Dai anawaumiza sana vichwa watu,
Imefika hatua mpaka wanasiasa wanatafuta kick kupitia yeye!!
Ha ha ha ha,Mungu amzidishie aise
haya sasa tujiandae na collabo lingine sa iv ni Bracket ft diamond ivo tu