Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
kuna tatizo EATV...jaribu kufuatlia vyombo vyao vya taarifa mitandaoni...taarifa ni hiyo moja tu...na imewekwa jana jioni following hizi tuhuma juu yao..taarifa hiyo inahusu project ya EBOLA
Si vizuri kuanza kutengeneza Mambo ambayo hayawezi kumsaidia Diamond kabisa na katika hili muwe waangalifu sana! Mimi mwenyewe Jana nimeshuhudia ana tangazwa hata kwenye page yao ya fb na kama ni msikilizaji wa radio yao utakubaliana nami!
Nasitegemei kila kipindi wamtangaze bali vipindi vya burudani! Hivi kweli unaweza kusema kuwa EATV kuna tatizo na kutomtangaza Diamond? Mh kuweni makini msije kutengeneza migogoro!