Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

kuna tatizo EATV...jaribu kufuatlia vyombo vyao vya taarifa mitandaoni...taarifa ni hiyo moja tu...na imewekwa jana jioni following hizi tuhuma juu yao..taarifa hiyo inahusu project ya EBOLA

Si vizuri kuanza kutengeneza Mambo ambayo hayawezi kumsaidia Diamond kabisa na katika hili muwe waangalifu sana! Mimi mwenyewe Jana nimeshuhudia ana tangazwa hata kwenye page yao ya fb na kama ni msikilizaji wa radio yao utakubaliana nami!

Nasitegemei kila kipindi wamtangaze bali vipindi vya burudani! Hivi kweli unaweza kusema kuwa EATV kuna tatizo na kutomtangaza Diamond? Mh kuweni makini msije kutengeneza migogoro!
 
teh teh teh reaction yako imenifurahisha, imenifanya niende kuangalia page ya EATV upya ya fb...labda kama walipitiwa ila mtazamo wangu unaonesha kuna tatizo..jana ilikua tar 1, imepita tar 30 patupu and it was after tuhuma...! sichochei chochote ila sijafurahishwa na lile tukio la ajabu sana..tuzo tar 29 usiku, jpili imepita kavu, j3 kwakusua sua ndo wameanza na project
 
10356266_10203523521221764_846176143520998480_n.jpg

MBONI MHITA

Nimetua Salama. Leo nikiwa kwenye ndege kutokea South Africa niligundua nimekaa na Diamond Platinum. Kwa shangwe na furaha na utaifa wangu nikamsalimia kwa bashasha nikiwa na lengo la kumpongeza. Jamani hiyo pozi aliyonifanyia. Je ucheshi wako mdogo wangu ni wa stage tu au? Bali sikuacha hivyo hivyo wakati wa kushuka nikamwambia mwenzie, kuwa wamfundishe mwenzao kuongea na mashabiki. Jibu lake..."Dada msamehe kakasirika maana kasahau tuzo South". Naomba ujirekebishe mdogo wangu.
.......MBONI MHITA

duhuu mboni hilo vazi tu la ccm apa nikiliangalia tu napatwa na hasira arrrrggggg. uchaguz ujao tufanye walau mabadiliko kidogo.
 
10356266_10203523521221764_846176143520998480_n.jpg

MBONI MHITA

Nimetua Salama. Leo nikiwa kwenye ndege kutokea South Africa niligundua nimekaa na Diamond Platinum. Kwa shangwe na furaha na utaifa wangu nikamsalimia kwa bashasha nikiwa na lengo la kumpongeza. Jamani hiyo pozi aliyonifanyia. Je ucheshi wako mdogo wangu ni wa stage tu au? Bali sikuacha hivyo hivyo wakati wa kushuka nikamwambia mwenzie, kuwa wamfundishe mwenzao kuongea na mashabiki. Jibu lake..."Dada msamehe kakasirika maana kasahau tuzo South". Naomba ujirekebishe mdogo wangu.
.......MBONI MHITA

hahaha Dai anawaumiza sana vichwa watu,
Imefika hatua mpaka wanasiasa wanatafuta kick kupitia yeye!!

Ha ha ha ha,Mungu amzidishie aise
 
teh teh teh reaction yako imenifurahisha, imenifanya niende kuangalia page ya EATV upya ya fb...labda kama walipitiwa ila mtazamo wangu unaonesha kuna tatizo..jana ilikua tar 1, imepita tar 30 patupu and it was after tuhuma...! sichochei chochote ila sijafurahishwa na lile tukio la ajabu sana..tuzo tar 29 usiku, jpili imepita kavu, j3 kwakusua sua ndo wameanza na project

Mh Pengine utakuwa kuna kitu unatafuta mmmh kweli unafikiri wanamuonea wivu? Kwani ilikuwa lazima watangaze kila kipindi?Nimegundua unataka wafanye kama Clouds wanavyo fanya !
 
Naheshimu sana mawazo yako lawyer..lakini kama ukipitia maudhui ya uwepo wa eatv,na diamond anafanya kazi ya maudhi kama yao.tena kaliletea sifa taifa,jamaa walizingua sana...ishu ya usiku wa tarehe 29 ukiiweka tarehe 30 au 1 wakati ww ni mkongwe ktk media unashangaza
 
Pia ishu sio kumtangaza diamond Bali kutangaza ushindi alouletea taifa hope unaelewa nachomaanisha Rutashobolwa
 
Last edited by a moderator:
Naheshimu sana mawazo yako lawyer..lakini kama ukipitia maudhui ya uwepo wa eatv,na diamond anafanya kazi ya maudhi kama yao.tena kaliletea sifa taifa,jamaa walizingua sana...ishu ya usiku wa tarehe 29 ukiiweka tarehe 30 au 1 wakati ww ni mkongwe ktk media unashangaza

Kama swala lilikuwa limetokea usiku wa tarehe 29 likitangazwa tare he 30 au 1 sijaona tatizo kabisa! Labda kama mlitaka lipewe airtime kila kipindi kama walivyo Fanya Clouds!
 
sijui kama unaelewa maudhui ya eatv na ea radio. Hizo media ni za burudani...na hili suala ni la kiburudani plus sifa kwa nchi......
Sio la kulichukulia easy....na ndio maana wensetu wanafika mbali maana wanawekeana wivu wa maendeleo...
Sifa anazopata chibu zinaweza msaidia msanii mwingine nae akaze afike alipofika chibu.
Chibu mwenyewe kasema kua AY ndio aliowafundisha kwenda kimataifa,so akachukua hio sifa nae katoka..

So hapa ishu sio kumpa airtime diamond,ishu ni kuipa airtime Tanzania coz tuzo ni ya dai but sifa ni za watanzania......JICHO LA MWEWE.
 
haya sasa tujiandae na collabo lingine sa iv ni Bracket ft diamond ivo tu

Ya waje tayari.....bado mafikizolo bado iyanya bado kcee bado don jazzy bado Donald bado coco master na bado ommy dimpoz(najua hapa kwa dimpoz kuna watu wamesonya but trust me itakua bonge la kollabo) na bila kusahau WE'RE THE WORLD AFRICA #AFRICA ALLSTARS
 
naona raisi aka mista matuzo yupo bongo na kapokelewa vya kutosha vipi timu zomeazomea hawakuwepo airport kutimiza wajibu wao?
 
Back
Top Bottom