Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Waue waue.....wewe do President wa Bongo Musics,et wanamwita King...hahaha...utawala wa kifalme ulikua zamaaani lakini sasa hivi urais ndo habari ya mjini.
The Dr 3 Diamonds.....Nenda ukamwambie....tatizo kwetu mbagala.....Nitarejea....uwiiiii.....shida kweli....sisi hatujui Cindellera ni nani na hatujui km asharudi kwao kigoma....
Basi ngoja Mwana aje atuoneshe how to do Ngololo....just mdogomdogo tu mwana..au hujui utampataje?...Hahahah....ni rahisi sana jaribu kutofautisha "X" na kuzidisha...Msalaba na kujumlisha....Mwana ujui huyu ni raisi aliyemshinda Ibilisiiiiiiii.......
 
Hapa mtaani kwangu ni kama nipo gerezani mana nikiwasha TV ni ally kiba, nikiwasha radio namsikia ally kiba, ringtone za wananzengo wenzangu ni nyimbo za ally kiba tu. Jana ndo nimebahatika kumsikia rich mavoko. Hivi Tanzania hakuna mwanamziki mwingine zaidi ya ally kiba?

Hahahahaha pole bhna bila shaka upo kwenye kamtaa ka kariakoo ndani ndani huko.....hehehehe toka nje uone dunia ilivyo na wasanii waliopo tanzania
 
duuuuh you made my day
 
Hahahahaha pole bhna bila shaka upo kwenye kamtaa ka kariakoo ndani ndani huko.....hehehehe toka nje uone dunia ilivyo na wasanii waliopo tanzania

Mkuu leo nitajaribu kwenda mtaa wa pili, nikaangalie kama naweza experience the difference, mana hii hali imenichosha.
 
Mkuu vyema ungetumia neno la busara kidogo maana hili neno''AMCHOKONOA''wngn wanaweza wakalichukulia ndivyo sivyo
 
Hapa mtaani kwangu ni kama nipo gerezani mana nikiwasha TV ni ally kiba, nikiwasha radio namsikia ally kiba, ringtone za wananzengo wenzangu ni nyimbo za ally kiba tu. Jana ndo nimebahatika kumsikia rich mavoko. Hivi Tanzania hakuna mwanamziki mwingine zaidi ya ally kiba?

ukiwasha tv unamuona ali k kupitia nyimbo gan nakshi mrembo au macmuga?
 
Baada ya Diamond Platnumz kutua jijini Dar es salaam December 2 akitokea Afrika Kusini akiwa na tuzo zake 3 za Channel O, alikutana na wadau, mashabiki pamoja na waandishi pale Escape 1 kuzungumzia ushindi wake na safari nzima ilivyokuwa.

Miongoni mwa maeneo aliyozungumzia ni pamoja na umoja unaohitajika kwa wasanii wa Tanzania ili waweze kuwa wengi katika majukwaa ya kimataifa.

“Ombi langu mimi kiukweli ni moja tu, Unajua lazima kama alivyosema mheshimiwa hapa muziki wetu ushakuwa, watu wanaukubali na tushaona njia kama tunaweza so lazima sisi tujiamini wenyewe tusikaekae sana nyuma kwasababu watu kuna ile kuogopa cha kuona kama aah watanipokea kweli. Na zile za aah ntashindwa kuongea kizungu ntachekwa mi nishachekwa sana kwenye kizungu sana, lakini saizi naweza nikaingia hata Big Brother na broken zangu hivyo hivyo lakini napita hivyo hivyo nimeingia pale juzi Fally hajaongea mi nimeongea “.

Diamond pia ameendelea kuwaomba wasanii wenzake kutotengenezeana beef za wenyewe kwa wenyewe, na hakusita kumtaja Ally Kiba wakati akitoa mifano alipokuwa Nigeria na kujiona yuko peke yake hakuna msanii yeyote wa nyumbani zaidi yake.

“Kingine mimi nilikuwa nataka niombe tufute zile zama zakutengenezeana matatizo wasanii wenyewe kwa wenyewe wa Tanzania kwasababu haiwezi kutusaidia kabisa, alikuwa anaongea kitu mkubwa hapa, nilivyofika Nigeria nilikuwa najiona kama mkiwa kwasababu niko peke yangu, nikiangalia huku simuoni hata Jaguar, huku siwaoni wasanii wenzangu namtafuta Dimpoz namtafuta nani, hata Ally simuoni yaani niko peke yangu.”

Credit:BONGO5

Wewe ndie unaanza kuwachonganisha Ally na Mond.
Kunatofauti kubwa kati ya jinsi ulivyo weka kianzio cha habari na habari kamili.
Sioni ugumu kusema umeileta kiudaku (news) zaidi.
Nakushauri ku- think positive and achana na mawazo hasi
 
ukiwasha tv unamuona ali k kupitia nyimbo gan nakshi mrembo au macmuga?

far away, dushelele, kidela n.k Pia kuna pini lake nimeliona leo asubuhi linaitwa "sex mama" jamaa humo kaimba kwa lugha ya malkia kama r kely vile.
 
Ujue mfuta vumbi alikosea sana hesabu....yaani alivokuaga kakaa kimya ilikua bora sana....sasa tatizo akawasikiliza wapuuzi ambao wao waliongozwa na chuki ya mafanikio ya 3D,,akaingia mzima mzima akidhani wenye kumchukia rais ni wengi kuliko wampendao.....akajitia eti ze konyo konyo of the konyo hahaha.......watu wakamwambia wait a minute,do you mean to start a war with someone who's command in chief???? Kweli kabisa unataka pambana na rais kweli ambae ana jeshi kuanzia mgambo mpaka wanamaji??? Ndo akapigwa 3 bila mchana kweupeeeeee!!!! Kama ana akili its time aache kuwasikiliza wapuuzi afanye kazi kwa kujituma na wala asijiingize ktk mkumbo wao aseeeeee...

Lakini akiendelea kuwasikiliza wapuuzi ataendelea kuishia leaders wenzake ndo washaanza kuikamata Uganda(hakuna soko gumu kimuziki kama Uganda kwa east Africa maana wanathamini na kupenda vya kwao)

Ni hayoo tuu
 
Back
Top Bottom