Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa mpambe wake unampigia promo bosi wako
Kamchokonoa vp tena?
Ukweli imekuana nongwa leo hii !
Jenga picha kwene tunzo izo za chanel 0 ingekuwa hivi,
Chibu tunzo 1
Vannesa Tunzo 1
Kiba tunzo 1
Rich tunzo 1
Ni furaha kiasi gani tungepata watanzania sie? Na kiasi gani tungekuwa tumejitangaza?
Schedule ya Diamond na show zilizokuwa confirmed tayari
Schedule ya Diamond na show zilizokuwa confirmed tayari
Hiyo cha mtoto Kiba na Meneja wake Matola wana show kama mia hivi ndani ya December.. Yani kila siku show tatu
Sijamuongelea Kiba hapa...
Anyways no evidence no right to speak, piga kimya ka una habari za kusikia hapa tunaweka habari "confirmed"
Mbona unatoka povu hivo??? Aaaaahh sorry kumbe kuku Mgeni, hujui hata kinachoongelewa haha
Umedandia lori la mkaa asee
Ok senior member.. Nikilog in kwenye PC nitaangalia join date yako kwanza then mengine yataendelea
Schedule ya Diamond na show zilizokuwa confirmed tayari
Hiyo cha mtoto Kiba na Meneja wake Matola wana show kama mia hivi ndani ya December.. Yani kila siku show tatu
Sijamuongelea Kiba hapa...
Anyways no evidence no right to speak, piga kimya ka una habari za kusikia hapa tunaweka habari "confirmed"
Sonetimes tuweke ushabiki pembeni tuongee fact.Sasa hapo ali kiba kachokonolewa wapi?