Hapa mtaani kwangu ni kama nipo gerezani mana nikiwasha TV ni ally kiba, nikiwasha radio namsikia ally kiba, ringtone za wananzengo wenzangu ni nyimbo za ally kiba tu. Jana ndo nimebahatika kumsikia rich mavoko. Hivi Tanzania hakuna mwanamziki mwingine zaidi ya ally kiba?
Waue waue.....wewe do President wa Bongo Musics,et wanamwita King...hahaha...utawala wa kifalme ulikua zamaaani lakini sasa hivi urais ndo habari ya mjini.
The Dr 3 Diamonds.....Nenda ukamwambie....tatizo kwetu mbagala.....Nitarejea....uwiiiii.....shida kweli....sisi hatujui Cindellera ni nani na hatujui km asharudi kwao kigoma....
Basi ngoja Mwana aje atuoneshe how to do Ngololo....just mdogomdogo tu mwana..au hujui utampataje?...Hahahah....ni rahisi sana jaribu kutofautisha "X" na kuzidisha...Msalaba na kujumlisha....Mwana ujui huyu ni raisi aliyemshinda Ibilisiiiiiiii.......
Hahahahaha pole bhna bila shaka upo kwenye kamtaa ka kariakoo ndani ndani huko.....hehehehe toka nje uone dunia ilivyo na wasanii waliopo tanzania
Hapa mtaani kwangu ni kama nipo gerezani mana nikiwasha TV ni ally kiba, nikiwasha radio namsikia ally kiba, ringtone za wananzengo wenzangu ni nyimbo za ally kiba tu. Jana ndo nimebahatika kumsikia rich mavoko. Hivi Tanzania hakuna mwanamziki mwingine zaidi ya ally kiba?
ukiwasha tv unamuona ali k kupitia nyimbo gan nakshi mrembo au macmuga?
Baada ya Diamond Platnumz kutua jijini Dar es salaam December 2 akitokea Afrika Kusini akiwa na tuzo zake 3 za Channel O, alikutana na wadau, mashabiki pamoja na waandishi pale Escape 1 kuzungumzia ushindi wake na safari nzima ilivyokuwa.
Miongoni mwa maeneo aliyozungumzia ni pamoja na umoja unaohitajika kwa wasanii wa Tanzania ili waweze kuwa wengi katika majukwaa ya kimataifa.
Ombi langu mimi kiukweli ni moja tu, Unajua lazima kama alivyosema mheshimiwa hapa muziki wetu ushakuwa, watu wanaukubali na tushaona njia kama tunaweza so lazima sisi tujiamini wenyewe tusikaekae sana nyuma kwasababu watu kuna ile kuogopa cha kuona kama aah watanipokea kweli. Na zile za aah ntashindwa kuongea kizungu ntachekwa mi nishachekwa sana kwenye kizungu sana, lakini saizi naweza nikaingia hata Big Brother na broken zangu hivyo hivyo lakini napita hivyo hivyo nimeingia pale juzi Fally hajaongea mi nimeongea .
Diamond pia ameendelea kuwaomba wasanii wenzake kutotengenezeana beef za wenyewe kwa wenyewe, na hakusita kumtaja Ally Kiba wakati akitoa mifano alipokuwa Nigeria na kujiona yuko peke yake hakuna msanii yeyote wa nyumbani zaidi yake.
Kingine mimi nilikuwa nataka niombe tufute zile zama zakutengenezeana matatizo wasanii wenyewe kwa wenyewe wa Tanzania kwasababu haiwezi kutusaidia kabisa, alikuwa anaongea kitu mkubwa hapa, nilivyofika Nigeria nilikuwa najiona kama mkiwa kwasababu niko peke yangu, nikiangalia huku simuoni hata Jaguar, huku siwaoni wasanii wenzangu namtafuta Dimpoz namtafuta nani, hata Ally simuoni yaani niko peke yangu.
Credit:BONGO5
ukiwasha tv unamuona ali k kupitia nyimbo gan nakshi mrembo au macmuga?
hahaaaa msiniseme na kidela lol
duuuuh you made my day
Mkuu niko ofisini hapa napiga "nitampataje" Mdogomdogo
Mkuu niko ofisini hapa napiga "nitampataje" Mdogomdogo
sijaona tatizo hapo. lakini diamond anatakiwa aache nyodo