Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


daaah hatari aisee
 

ha ha ha maneno yanaua ujue!!!
 
hivi mleta uzi unajiskia amani kabisa kuleta mada yenye kichwa cha habari HASI??
 
far away, dushelele, kidela n.k Pia kuna pini lake nimeliona leo asubuhi linaitwa "sex mama" jamaa humo kaimba kwa lugha ya malkia kama r kely vile.

huyu si haimbagi mapenzi huyu?? sex mama??? unamsingizia kaka wa watu kwanza hapendi show off
 
huyu si haimbagi mapenzi huyu?? sex mama??? unamsingizia kaka wa watu kwanza hapendi show off

Huu wimbo alitengeneza ili kuwaonesha kua anauwezo wa kugonga kotekote. Alivyotembea juu ya beat kali, lugha ya malkia aliyotumia ni "unbelivable", usipokua makini unaweza dhani R Kelly katoa ngoma mpya.
Tafuta huo wimbo na nakuahidi hutajuta kupoteza bando lako kama kipindi kile cha iyanya na yule dogo wa tandale.
 
mtoa mada hajielewi huyo anajua watu kila sehemu wana endekeza hostility,lengo lake ni kuona fans wa kiba na diamond wana rushiana maneno hapa kumbe wenye akili wamesha mshtukia wana muona kinyago tu.
Huyo jamaa ni kati ya watu ambao, tofauti na mashabiki wengine wa Kiba, huyo Somji huwa anaonesha chuki ya wazi wazi dhidi ya Diamond... yaani huyu ni aina ya wale wapumbavu ambao wanataka ili mtu wao apande basi lazima aliye juu ashushwe.
 
hivi mleta uzi unajiskia amani kabisa kuleta mada yenye kichwa cha habari HASI??
Fuatilia posts zake zote kuhusu Diamond ndipo utamgundua ni mtu wa aina gani! Huyu jamaa nina uhakika hata asikie Chibu leo amekufa, trust me, atafurahia!
 
Hana ubunifu kwenye uandishi. Almost
Kila nyimbo lazima alitaje jua
Karibu tuwasikie wadau:
LATOYA FOREVER BROUGHT ME HERE, THE GIRL IS GORGEOUS, SONG IS NICE EVEN THOUGH I DON'T UNDERSTAND THE WORDS. By debbiedelight7
Yes Karen I wish he was a Kenyan we would have accorded him the VIP status he so deserves by dalidzu cheredi
Great song.Can't resist no matter how many times I have to listen to it.I guess I should just cross the border from kenya to TZ.Anyway listening to you bruv from UK.Nyimbo "tamu"
I really love this song even though i can't even understand one bit of what he's saying. but that girl though..... is she Mixed or what? she's so damn pretty Masha Allah. Love from a Somali sister by
Huyu jamaa ameshawashitukia:

Views 901, 900 in two weeks!
 
Last edited by a moderator:
Karibu tuwasikie wadau:
Huyu jamaa ameshawashitukia:

Views 901, 900 in two weeks!

woooowww watu wamataifa ya nje wenyewe wanatamani wawe watanzania just bcoz of diamond halafu sisi wenyewe tuna jenga chuki za ajabu ajabu mwe! aibu kwetu watz tusipo wapenda wa kwetu.
 
Last edited by a moderator:
Karibu tuwasikie wadau:
Huyu jamaa ameshawashitukia:

Views 901, 900 in two weeks!

woooowww watu wamataifa ya nje wenyewe wanatamani wawe watanzania just bcoz of diamond halafu sisi wenyewe tuna jenga chuki za ajabu ajabu mwe! aibu kwetu watz tusipo penda vya kwetu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…