good morning wadau....ijumaa karim!
Karibu tuwasikie wadau:
Huyu jamaa ameshawashitukia:
Views 901, 900 in two weeks!
Tisha sana.....halafu wanga hawana haya...wanaenda hadi Utube kucomment chuki zao...
Ila ndo basi tena nyota inang'aa hadi walio mbali wanaiona....
kama hawapendi chibu kutusua wachambie tindikali
Jamaa Kenya anatisha... kwanza angalia kile kiingilio cha show ya Mombasa... kiingilio cha chini kabisa ni KSH 2000... hii ni takribani sh.35,000/- za TZ!Nimekuja wangu...yani nikiangaliaga video zake you tube nasomaga na comments....Aaaah Rais kawateka sana wakenya...wanamkubali sana....
Jamaa Kenya anatisha... kwanza angalia kile kiingilio cha show ya Mombasa... kiingilio cha chini kabisa ni KSH 2000... hii ni takribani sh.35,000/- za TZ!
woooowww watu wamataifa ya nje wenyewe wanatamani wawe watanzania just bcoz of diamond halafu sisi wenyewe tuna jenga chuki za ajabu ajabu mwe! aibu kwetu watz tusipo penda vya kwetu.
za asubuhi wana jamvi a.k.a wasafii
Jamaa Kenya anatisha... kwanza angalia kile kiingilio cha show ya Mombasa... kiingilio cha chini kabisa ni KSH 2000... hii ni takribani sh.35,000/- za TZ!
za asubuhi wana jamvi a.k.a wasafii
mia mia have a nice week end.
Tuko poa Sanaaaa
Nana umecheck PM
Maisha yana songa huyu jamaa hatari sana huwa hana time na vijineno neno vya mitaani.
Ngoma kali sana ile... niliiangalia Youtube hadi bundle ikakata manake ilikuwa ni mwendo wa kuuchungulia kila wakati!!!Wadau nimeshuhudia ngoma mpya Waje kamshirikisha Diamond mtv base.
Ni hatari sana. Di ni habari nyingine aise.
Cc. Chinga One et.al
diamond ni heshima.