Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hongera sana Daimond mi ka shabiki wako najivunia sana mafanikio yako ila sijapenda ulivomjibu Davido ungepiga kimya ingekua poa zaidi Jahh bless u.
 
Ntaumia sana ka urafiki wa Davido na Diamond ukiingia doa yaan ntaugua kabisa nimependa sana walivoshirikia kwenye kazi na shuhuli zingine
 
Hongera chibu another day another award.
 

Attachments

  • 1418015609730.jpg
    55 KB · Views: 168
Ntaumia sana ka urafiki wa Davido na Diamond ukiingia doa yaan ntaugua kabisa nimependa sana walivoshirikia kwenye kazi na shuhuli zingine
Sitarajii kama uhusiano wao unaweza kuvunjika kwa zile Tweet mbili moja kutoka kwa Davido na nyingine kutoka kwa Chibu... I hope they'll clear the air!
 
Aisee Hii mutu ni hatariii aiseee!
Hii nyimbo yake Nitampata wapi ni Kali sn mazee!

Holler Diamond....,!
 
Sitarajii kama uhusiano wao unaweza kuvunjika kwa zile Tweet mbili moja kutoka kwa Davido na nyingine kutoka kwa Chibu... I hope they'll clear the air!

Na iwe ivyo aisee gharama ya kujenga urafiki ni kubwa sana
 
kibongobongo hakuna mwenye C.V ya kimuziki kama ya dai .....kila siku tuzo mara utaskia tena kesho diamond kachukua tuzo gabon mara kesho kutwa sierra lione mpaka wafe mwaka huu
 
Na iwe ivyo aisee gharama ya kujenga urafiki ni kubwa sana
Urafiki wao unaweza usitetereke na hata ukiterereka unaweza kuwa fixed tatizo ni kwamba hawa mashabiki wanaomwaga mitusi huko Instagram wanaweza kumuundia Chuki Chibu na mashabiki wa Davido waliopo Nigeria... kwa sababu hata ukiangalia awali mashabiki wa Nigeria walikuwa kimya hadi baadae na wao walipoanza kujibu!Wasanii wetu bado wanaihitaji Nigeria kwavile ndio super entertainment industry kwa Africa... Na hata huyo Diamond bado anaihitaji sana Nigeria tena sana kuliko Davido anavyoihitaji Tanzania! So, kuanza kutengeneza mabifu kwa mambo yaisyo na maana sio jambo jema hata kidogo hasa pale tunavyodhani tayari tumeshaota mapembe!

Ukweli hata kama ni mchungu ni lazima usemwe ili watu wawe shaped... Tanzania bado sana tena sana kwenye entertainment industry! Hata haya mafanikio ya Diamond bado sana tena sana hadi yatufanye tuwe na kiburi na kujiona sasa ni wakati wa Tanzania dhidi ya nchi zingine za Africa... tunaweza kuwa na kiburi na jeuri hapa East Africa lakini sio Africa. Kinachotokea ni sawa na Wakenya leo hii wajione it's time for Kenya in movie industry duniani simply because Lupita Nyogo alichukua tuzo ya Oscar. Kinachotokea ni sawa na leo hii tujione sie kwenye soka ndio basi tena kwavile tu Mbwana Samatta anafanya vizuri TP Mazembe!

Na hapa ukweli lazima usemwe na tusigeuka kuwa mashabiki maandazi! Jibu la Diamond kwa Davido halikuwa sahihi hata kidogo hasa ukizingatia kwamba Davido aliowaambia wame-cheat ni BBA sasa Diamond kujibu "We Cheated Again...!" ilikuwa ni kama kwamba Davido amemuambia Chibu ame-cheat wakati tuhuma za Davido zimeenda kwa BBA! By the way, who knows Nigerians perceptions linapokuja suala la BBA? What if kama wanaamini BBA wana tabia ya kuwahumu wa-Nigeria? Kama ndivyo, Chibu alikuwa na sababu gani ya kuhusisha tuzo yake na kauli ya Davido? Na hata kama alihisi Davido alimaanisha hata ushindi wa Chibu ulitokana na ChO ku-cheat basi ni akheri angejibu "They have cheated again..." kuonesha/kuwananga kwamba, ikiwa hao ChO wali-cheat na kumpa tuzo ili kuwahujumu Nigeria basi ina maana hata hao wa-Nigeria waliompa tuzo nao wame-cheat ili kuwahujumu wa-Nigeria wenzao!"
 

Angekaaa kimya ingekua poa zaidi cha msing na cha aombe tu msamaha kwa niaba ya mashabiki wake na naamin anaweza kuomba msamaha.
 
Angekaaa kimya ingekua poa zaidi cha msing na cha aombe tu msamaha kwa niaba ya mashabiki wake na naamin anaweza kuomba msamaha.
You're very right... hata hiyo option ya kukaa kimya nilishasema kwenye moja ya post zangu! Aidha, inawezekana kabisa kwamba Chibu hakuwa very serious kwenye kauli yake lakini mashabiki ndo walioharibu! Kwahiyo nakuunga mkono kwamba uungwana ni kuomba msamaha sio kwa ajili ya kauli yake bali kwa niaba ya mashabiki ambao wame-over react.
 
Hope mko poa guys......Mawazo by Diamond unifikie me mwenyewe.....

Muwe na sikukuu njema...
 
Sitarajii kama uhusiano wao unaweza kuvunjika kwa zile Tweet mbili moja kutoka kwa Davido na nyingine kutoka kwa Chibu... I hope they'll clear the air!

Na iwe ivyo aisee gharama ya kujenga urafiki ni kubwa sana

Tatizo siyo Diamond wala Davido, tatizo ni vijana mashabiki maandazi wa Diamond na Vitecno vyao kudhani matusi ndio ushabiki.

Davido ametweet na Diamomdd amejibu tweet, wav wenye akili walipaswa mambo ya msondo wamuachie Gurumo. Kujipendekeza kupita kiasi ni tatizo linalowakabiri mashabiki maandazi.

Binafsi sina account tweeter ila nina account Insta lakini sijawahi kupost wala kuchangia lolote maana nilifunguwa account Insta ili umbea first class niwe nausoma tu mwenyewe na kuishia zangu sina comment wala like Insta na simfollow yeyote zaidi ya marafiki zangu wa Facebook tu ambapo msanii ni Sugu peke yake.
 
kibongobongo hakuna mwenye C.V ya kimuziki kama ya dai .....kila siku tuzo mara utaskia tena kesho diamond kachukua tuzo gabon mara kesho kutwa sierra lione mpaka wafe mwaka huu

Huu ndio ushabiki maandazi, labda hujui historia ya Muziki Tanzania Tecno na bundle za promosheni ndio zimekuleta humu.

Ukiulizwa hata BBC extra one Diamond amesikika lini hujui na ukiulizwa Diamond alishawahi kupewa air time hata ya sekunde 50 CNN huna unalolijuwa.

Mtafute Nancy Sumari atakufafanulia nini maana ya sekunde 50 CNN.

WEWE UTAYAJUWA TU YA MCHARU KAWA MTAMU NA LEO TENA NYAMA?
 

ha ha ha ha ha haaa, eti tecno na bundle za promoshen.. Una maneno wewe.

All in all DIAMOND RULES.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…