Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitarajii kama uhusiano wao unaweza kuvunjika kwa zile Tweet mbili moja kutoka kwa Davido na nyingine kutoka kwa Chibu... I hope they'll clear the air!Ntaumia sana ka urafiki wa Davido na Diamond ukiingia doa yaan ntaugua kabisa nimependa sana walivoshirikia kwenye kazi na shuhuli zingine
Nimesoma kama vile yupo marekani kwenye sherehe za uhuru mkuu
Hongera chibu another day another award.
Sitarajii kama uhusiano wao unaweza kuvunjika kwa zile Tweet mbili moja kutoka kwa Davido na nyingine kutoka kwa Chibu... I hope they'll clear the air!
Urafiki wao unaweza usitetereke na hata ukiterereka unaweza kuwa fixed tatizo ni kwamba hawa mashabiki wanaomwaga mitusi huko Instagram wanaweza kumuundia Chuki Chibu na mashabiki wa Davido waliopo Nigeria... kwa sababu hata ukiangalia awali mashabiki wa Nigeria walikuwa kimya hadi baadae na wao walipoanza kujibu!Wasanii wetu bado wanaihitaji Nigeria kwavile ndio super entertainment industry kwa Africa... Na hata huyo Diamond bado anaihitaji sana Nigeria tena sana kuliko Davido anavyoihitaji Tanzania! So, kuanza kutengeneza mabifu kwa mambo yaisyo na maana sio jambo jema hata kidogo hasa pale tunavyodhani tayari tumeshaota mapembe!Na iwe ivyo aisee gharama ya kujenga urafiki ni kubwa sana
Urafiki wao unaweza usitetereke na hata ukiterereka unaweza kuwa fixed tatizo ni kwamba hawa mashabiki wanaomwaga mitusi huko Instagram wanaweza kumuundia Chuki Chibu na mashabiki wa Davido waliopo Nigeria... kwa sababu hata ukiangalia awali mashabiki wa Nigeria walikuwa kimya hadi baadae na wao walipoanza kujibu!Wasanii wetu bado wanaihitaji Nigeria kwavile ndio super entertainment industry kwa Africa... Na hata huyo Diamond bado anaihitaji sana Nigeria tena sana kuliko Davido anavyoihitaji Tanzania! So, kuanza kutengeneza mabifu kwa mambo yaisyo na maana sio jambo jema hata kidogo hasa pale tunavyodhani tayari tumeshaota mapembe!
Ukweli hata kama ni mchungu ni lazima usemwe ili watu wawe shaped... Tanzania bado sana tena sana kwenye entertainment industry! Hata haya mafanikio ya Diamond bado sana tena sana hadi yatufanye tuwe na kiburi na kujiona sasa ni wakati wa Tanzania dhidi ya nchi zingine za Africa... tunaweza kuwa na kiburi na jeuri hapa East Africa lakini sio Africa. Kinachotokea ni sawa na Wakenya leo hii wajione it's time for Kenya in movie industry duniani simply because Lupita Nyogo alichukua tuzo ya Oscar. Kinachotokea ni sawa na leo hii tujione sie kwenye soka ndio basi tena kwavile tu Mbwana Samatta anafanya vizuri TP Mazembe!
Na hapa ukweli lazima usemwe na tusigeuka kuwa mashabiki maandazi! Jibu la Diamond kwa Davido halikuwa sahihi hata kidogo hasa ukizingatia kwamba Davido aliowaambia wame-cheat ni BBA sasa Diamond kujibu "We Cheated Again...!" ilikuwa ni kama kwamba Davido amemuambia Chibu ame-cheat wakati tuhuma za Davido zimeenda kwa BBA! By the way, who knows Nigerians perceptions linapokuja suala la BBA? What if kama wanaamini BBA wana tabia ya kuwahumu wa-Nigeria? Kama ndivyo, Chibu alikuwa na sababu gani ya kuhusisha tuzo yake na kauli ya Davido? Na hata kama alihisi Davido alimaanisha hata ushindi wa Chibu ulitokana na ChO ku-cheat basi ni akheri angejibu "They have cheated again..." kuonesha/kuwananga kwamba, ikiwa hao ChO wali-cheat na kumpa tuzo ili kuwahujumu Nigeria basi ina maana hata hao wa-Nigeria waliompa tuzo nao wame-cheat ili kuwahujumu wa-Nigeria wenzao!"
You're very right... hata hiyo option ya kukaa kimya nilishasema kwenye moja ya post zangu! Aidha, inawezekana kabisa kwamba Chibu hakuwa very serious kwenye kauli yake lakini mashabiki ndo walioharibu! Kwahiyo nakuunga mkono kwamba uungwana ni kuomba msamaha sio kwa ajili ya kauli yake bali kwa niaba ya mashabiki ambao wame-over react.Angekaaa kimya ingekua poa zaidi cha msing na cha aombe tu msamaha kwa niaba ya mashabiki wake na naamin anaweza kuomba msamaha.
Sitarajii kama uhusiano wao unaweza kuvunjika kwa zile Tweet mbili moja kutoka kwa Davido na nyingine kutoka kwa Chibu... I hope they'll clear the air!
Na iwe ivyo aisee gharama ya kujenga urafiki ni kubwa sana
kibongobongo hakuna mwenye C.V ya kimuziki kama ya dai .....kila siku tuzo mara utaskia tena kesho diamond kachukua tuzo gabon mara kesho kutwa sierra lione mpaka wafe mwaka huu
Huu ndio ushabiki maandazi, labda hujui historia ya Muziki Tanzania Tecno na bundle za promosheni ndio zimekuleta humu.
Ukiulizwa hata BBC extra one Diamond amesikika lini hujui na ukiulizwa Diamond alishawahi kupewa air time hata ya sekunde 50 CNN huna unalolijuwa.
Mtafute Nancy Sumari atakufafanulia nini maana ya sekunde 50 CNN.
WEWE UTAYAJUWA TU YA MCHARU KAWA MTAMU NA LEO TENA NYAMA?