Hilo la kwamba tatizo ni vijana nimeshalisema vile vile... mashabiki maandazi ni tatizo kwenye tasnia zetu... na ni bahati mbaya sana kwamba wasanii wetu hawana professional management manake wangekuwa na professional management, basi wangemshauri Diamond aombe radhi... si kwa sababu ya kauli aliyotoa (Diamond) bali aombe radhi kwa niaba ya mashabiki wake ambao wamevuka mipaka!Tatizo siyo Diamond wala Davido, tatizo ni vijana mashabiki maandazi wa Diamond na Vitecno vyao kudhani matusi ndio ushabiki.
Kulikoni dadangu unajidedikeshenia goma la Mawazo?!!Hope mko poa guys......Mawazo by Diamond unifikie me mwenyewe.....
Muwe na sikukuu njema...
Hilo halina ubishi na atakayebisha ni kwavile tu amezaliwa kuwa mbishi... atabisha moyoni mwake akifahamu fika kwamba anabisha tu ili mradi hobby yake itimie!Yoto kwa yote mwisho was siku die kajiinua na kainua taifa . god bless tz
Umkomeeeeeee nawe jiite Sadam Hussein
Hiyo aliisema kwenye promo ya zari concert ya trh 18, sidhani kama ni official name analojiita labda mashabiki ndo walikuze
Umkomeeeeeee nawe jiite Sadam Hussein[/QUOte
mimi nimeona anakosea.. atabadilika huwa anasoma hii mijadala. ana washauri wazuei mf ruge atampiga stop.
davido ame tweet tena
'kama usipowashukuru waliokupandisha ipo siku utashuka tu' SWALI JE WHY KILA BAADA YA KUFANYA KAZI NA MTU HUGOMBANA NAE???
I love this dude ila nahisi anaofanya nae kazi hawa,shauri kwa vitu vidogo vidogo
mziki sio kuimba tu is all about conection na kujuana na watu na kujulikana kwa jina ZURI
WHY BIN LADEN????
Kuna ugomvi na wa Nigeria lakini bado anajiita Chibu Dangote.
kuna vitu vingine sivielewi
hivi nyumba yake ile iko wapi kuna siku niliuliza niatukanwa sana niakona isiwe tabu,na magari yake hivi ni mangapi,biashara zake ni zipi na zipi???
DANGOTE GENERATION
NAMPENDA JAMAA ANAJUA SANA
kuna vitu vingine sivielewi
hivi nyumba yake ile iko wapi kuna siku niliuliza niatukanwa sana niakona isiwe tabu,na magari yake hivi ni mangapi,biashara zake ni zipi na zipi???
DANGOTE GENERATION
NAMPENDA JAMAA ANAJUA SANA
Kuna ugomvi na wa Nigeria lakini bado anajiita Chibu Dangote.
Sasa hivi diamond platnumz anajiita Monde bin Laden amin amin nawaambieni mziki wa uyu kijana utaishia tandale kama anataka kuvula level za kimataifa atafute majina yenye staha sio yanayopromote magaidi. Over
Toka wamemsema hajaiweka tena ktk mtandao, nyum a tangu mwaka juzi haijaisha, bado amepanga sinza japo uwezo wa kumalizia anao.