Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Tatizo siyo Diamond wala Davido, tatizo ni vijana mashabiki maandazi wa Diamond na Vitecno vyao kudhani matusi ndio ushabiki.
Hilo la kwamba tatizo ni vijana nimeshalisema vile vile... mashabiki maandazi ni tatizo kwenye tasnia zetu... na ni bahati mbaya sana kwamba wasanii wetu hawana professional management manake wangekuwa na professional management, basi wangemshauri Diamond aombe radhi... si kwa sababu ya kauli aliyotoa (Diamond) bali aombe radhi kwa niaba ya mashabiki wake ambao wamevuka mipaka!
 
Yoto kwa yote mwisho was siku die kajiinua na kainua taifa . god bless tz
Hilo halina ubishi na atakayebisha ni kwavile tu amezaliwa kuwa mbishi... atabisha moyoni mwake akifahamu fika kwamba anabisha tu ili mradi hobby yake itimie!
 
Sasa hivi diamond platnumz anajiita Monde bin Laden amin amin nawaambieni mziki wa uyu kijana utaishia tandale kama anataka kuvula level za kimataifa atafute majina yenye staha sio yanayopromote magaidi. Over
 
Hiyo aliisema kwenye promo ya zari concert ya trh 18, sidhani kama ni official name analojiita labda mashabiki ndo walikuze
 
davido ame tweet tena
'kama usipowashukuru waliokupandisha ipo siku utashuka tu' SWALI JE WHY KILA BAADA YA KUFANYA KAZI NA MTU HUGOMBANA NAE???

I love this dude ila nahisi anaofanya nae kazi hawa,shauri kwa vitu vidogo vidogo
mziki sio kuimba tu is all about conection na kujuana na watu na kujulikana kwa jina ZURI
WHY BIN LADEN????
 
alishawahi hadi kuandika kwenye page yake ya instagram ila baadae alifuta....na huwa anajiita hivyo mara nyingi
 
davido ame tweet tena
'kama usipowashukuru waliokupandisha ipo siku utashuka tu' SWALI JE WHY KILA BAADA YA KUFANYA KAZI NA MTU HUGOMBANA NAE???

I love this dude ila nahisi anaofanya nae kazi hawa,shauri kwa vitu vidogo vidogo
mziki sio kuimba tu is all about conection na kujuana na watu na kujulikana kwa jina ZURI
WHY BIN LADEN????

kalewa sifa
 
Kuna ugomvi na wa Nigeria lakini bado anajiita Chibu Dangote.
 
kuna vitu vingine sivielewi
hivi nyumba yake ile iko wapi kuna siku niliuliza niatukanwa sana niakona isiwe tabu,na magari yake hivi ni mangapi,biashara zake ni zipi na zipi???
DANGOTE GENERATION
NAMPENDA JAMAA ANAJUA SANA
 
Toka wamemsema hajaiweka tena ktk mtandao, nyum a tangu mwaka juzi haijaisha, bado amepanga sinza japo uwezo wa kumalizia anao.
 
subiri matusi zaidi
 
Sasa hivi diamond platnumz anajiita Monde bin Laden amin amin nawaambieni mziki wa uyu kijana utaishia tandale kama anataka kuvula level za kimataifa atafute majina yenye staha sio yanayopromote magaidi. Over

Uvuke kimataifa mara ngapi????
 
Toka wamemsema hajaiweka tena ktk mtandao, nyum a tangu mwaka juzi haijaisha, bado amepanga sinza japo uwezo wa kumalizia anao.

kumbe bado kapanga sinza aisee jamaa angemiliki mjumba wake
ookey na vipi magari yake na rasilimali zingine...picha plz kama unazo
 
Back
Top Bottom