Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #201
Mkuu naisubiri kwa hamu new song ya dia ili tumalize kazi...kabisa
kuna mahali nimeona ume tibua hali ya hewa halafu ume kimbia.
Kazidiii aiseeeeeee
hapo alikua ana kojoa mkojo wa kawaida kweli? mbona kama ana upasha msuli moto mpaka miguu imeishiwa nguvu.
Chibu akisikiliza mwana ya alikiba
Huu uzi uwe maalum kwa watu wote wenye mapenzi mema na wanao mtakia mafanikio kimuziki na kimaisha kijana Naseeb Abdul "Chibu Dangote".
Wenye kutaka kumshauri na kumtia moyo kijana aendelee kupaa na kuiwakilisha Tanzania kimuziki basi mnakaribishwa hapa mje mtoe maoni yenu kwa management na team Diamond kwa ujumla wapi wanakosea wapi waongeze juhudi wapi wajirekebishe ili kijana aendelee kua "the baddest musician" in Tanzania na East Africa kwa ujumla.
kukosoa pia ni ruksa kwani no body is perfect.
Wale jirani wenye chuki,wivu na roho mbaya kwa vijana wenzao wanao onyesha mafanikio pia wana karibishwa humu ndani kutoa changamoto,kukejeri,kudharau na kutukana pia mnaruhusiwa kama mna akili timamu.
karibuni sana wadau.
Wala sitaku kuupa huu uzi promo, kama wamemfungulia thread bwana yao, waache waendelee kumsifia na kumtukuza jinsi anavyowala tigo na kuwalipia bundle zao za kuingia JF, uzi wenyewe toka hasubuhi mpaka sasa umedoda, wanatafuta KICK niongee thread ijae ionekane kwamba wao ndo wao, apa wamechemsha, im too expensive for this league
alaah kumbe jamaa ni me!?? ha ha ha ha
Hahahahahah mkuu hata mimi.jamaa.kama.mwanamke vile eti linajisifia kuwa umbeya rahaaa do ukistaajabu ya musa utaona ya warumi.....
hapo alikua ana kojoa mkojo wa kawaida kweli? mbona kama ana upasha msuli moto mpaka miguu imeishiwa nguvu.[/QU
hivi kuna uwezekano wa kulike thread mara milioni moja??
polisi jamii ntakuwa napita kuangalia watu wanaotaka kuichafua hii thread bora kabisa kuwahi tokea jamii forums
we mbwa unamtukana nani???
hapo alikua ana kojoa mkojo wa kawaida kweli? mbona kama ana upasha msuli moto mpaka miguu imeishiwa nguvu.[/QU
huyo warumi sijui nani naona anatukana watu humu....
Warumini mwanaume????lazima awe Gasho
Ngoja nikusaidie kuongeza page maana naona unaangaika peke yako, maana Kiba anaelekea page ya 70.
asa mimi kiba ananihusu nn mkuu
Ngoja nikusaidie kuongeza page maana naona unaangaika peke yako, maana Kiba anaelekea page ya 70.
kwani mi kiba ananihusu nn mkuu....
Kumbe page zikiwa nyingi kwenye sred ni sifa?? Kweli Chinga One mi bado mshamba wa jf.Ngoja nikusaidie kuongeza page maana naona unaangaika peke yako, maana Kiba anaelekea page ya 70.
Kumbe page zikiwa nyingi kwenye sred ni sifa?? Kweli Chinga One mi bado mshamba wa jf.
Huu uzi umegeuka kuwa wa warumi tena sio diamond?? Ahahaha watu na nyota zetu bhana, endeleen kuongea maana mnazidi kunipa promo tu
Binadamu turudi kwetu hapa wanakuchokoza ili uwajazie page au ujaona mtu mmoja anabandika post 10 kwa. Dakika 2? Kiba anakaribia page ya 70 kule kwetu.