Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
una matusi ya chini chini eeh?
Una matusi ya chini chini eeh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una matusi ya chini chini eeh?
Una matusi ya chini chini eeh?
unako elekea kubaya sasa!
we mbwa unamtukana nani???
ile ngoma ya UKIMUONA kama anipigia kwenye live BAND ni bonge la ngoma
mbona husemi za dadamond ni nyimbo za vigodoro zinazopendwa na wanywa gongo na wacheza uchi
Hhhha ina maana hapo mdomo ulienda wapiii,,alivyokua nao ukakuaa,ila siku hiz Domo kapendeza mashaaalah
Na hiko ndo kinafanya achukiwe
swaga alianza zamani hapo alivyo mdogo kashajua kutupia cheni lol
mbona husemi za dadamond ni nyimbo za vigodoro zinazopendwa na wanywa gongo na wacheza uchi
Ndio maana nikionaga mtanange wako nakuaga sina hofu, najua star wa timu yupo uwanjani anaruka viunzi ngwara hadi vipepsi.Nishakua sugu mpaka najiogopaaa hhhhhhaaaaaa
Diamond anahitaji kutengeneza nyimbo zinazo husu maisha ya kawaida pia asiegemee sana kwenye mapenzi.ndio maana wajinga wengne wamemuona kama kazoeleka sana kwa kauchia maistar ya maenz tu..atunge nyimbo za maisha ya kawaida pia...he can do some thing in future
Nampenda diamond ila haimaniishi namchukia Kiba, sio kweli kuwa nyimbo za Domo zinapendwa kwenye vigodoro.
Angalia amealikwa sehemu ngapi, ameshiriki tuzo ngapi na ameshirikiana na wanamziki wangapi.
Ina maana huko kote wanapenda vigodoro hadi aalikwe.
Napenda tuwe na kina diamond hata kumi ndani ya nchi yetu, ila kila mtu afanikiwe kwa juhudi zake sio kwa mgongo wa mwenzie na chuki binafsi.
Siku hizi mziki biashara na ndio anachofanya domo ndio maana skendo kwanza wimbo unafuata then show zinajipanga.
Mwacheni Kiba atumie uwezo wake kuteka soko la mziki.
Mwacheni domo aitangaze Tanzania kwa mziki wake mzuri wa kibiashara.
Kama shabiki wa diamond Namshauri aanze mazoezi ya bend hata kama hana vyombo awe anakodi mara mojamoja baadae anakua mzoefu mbona FA aliwai kupiga na wananjenje.
Kiba aanze kufanya mziki wa biashara sio watu wanasifia halafu baadae wanaenda kulipa kiingilia 50000 kwa domo.
Nimekukubali kasoro I'd yako.Diamond hardworker juhudi zake sasa zinalipa.....Ally Kiba talented but not hardworker!Ni mtazamo tu wala msijenge Chuki!
Nimekukubali kasoro I'd yako.
Ukiendeleza ni tag.!Kaka tatizo la umaskini wa fikra ni mbaya sana.....yaani kuna mtu hapo atakuja na Ku crash ulichoshauri mradi anaongozwa na chuki....
Laiti wote wangejituma ktk kazi zao tusingesikia mtu analialia eti kalipwa milioni wengine walmelipwa mamilioni mengi....
Diamond ni kielelezo cha vijana wenye kiu na uelewa wa yafuatayo
1.ndoto,alikua na ndoto ambayo aliipigania
2.nidhamu,akaweka mbele nidhamu ktk kile kimpacho mlo
3.bidiii,akashindilia kitu hiki katika kazi yake
4.ubunifu,hapa akawa mjanja akatumia ubunifu kwenye nyimbo zake akamix mahadhi mbalimbali ktk ghani zake alizojifunza madrasa
5.risk taking(nimesahau kiswahili chake) hapa akawa tayari kutake risk na kwa waliosoma financial management wanajua "the higher the risk the higher the return"
Labda niiweke hivi,Dogo akaingia gharama ya karibu 40 millions kushoot video(that's risky) lakini ikafanya apate kollabo na davido pamoja na nominations kibao sana(returns)..
Alipo hapo ni wazi ndani ya afrika kwasasa yeye ni miongoni mwa wanamuziki wanaojulikana sana.
Itaendelea......