idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Hahaha mdau mm huku mbavu sina
Mkuu hizi I'd zingine zinamjukwaa yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mdau mm huku mbavu sina
Ukiendeleza ni tag.!
nampenda diamond ila haimaniishi namchukia kiba, sio kweli kuwa nyimbo za domo zinapendwa kwenye vigodoro.
Angalia amealikwa sehemu ngapi, ameshiriki tuzo ngapi na ameshirikiana na wanamziki wangapi.
Ina maana huko kote wanapenda vigodoro hadi aalikwe.
Napenda tuwe na kina diamond hata kumi ndani ya nchi yetu, ila kila mtu afanikiwe kwa juhudi zake sio kwa mgongo wa mwenzie na chuki binafsi.
Siku hizi mziki biashara na ndio anachofanya domo ndio maana skendo kwanza wimbo unafuata then show zinajipanga.
Mwacheni kiba atumie uwezo wake kuteka soko la mziki.
Mwacheni domo aitangaze tanzania kwa mziki wake mzuri wa kibiashara.
Kama shabiki wa diamond namshauri aanze mazoezi ya bend hata kama hana vyombo awe anakodi mara mojamoja baadae anakua mzoefu mbona fa aliwai kupiga na wananjenje.
Kiba aanze kufanya mziki wa biashara sio watu wanasifia halafu baadae wanaenda kulipa kiingilia 50000 kwa domo.
wameiona,,, ila watapita kimya kimyaaa.
Nice one.
Kuna mmoja ali like halafu aka unlike ntamtaja baadae kidogo hahahahahaha
Ndio maana nikionaga mtanange wako nakuaga sina hofu, najua star wa timu yupo uwanjani anaruka viunzi ngwara hadi vipepsi.
Nimependa.......nimekuona sasa umekomaa timu za mchangani hazikusumbui.
Nikiona mtanange wako najua tu kajambazi katasalenda tu.
Diamond anahitaji kutengeneza nyimbo zinazo husu maisha ya kawaida pia asiegemee sana kwenye mapenzi.ndio maana wajinga wengne wamemuona kama kazoeleka sana kwa kauchia maistar ya maenz tu..atunge nyimbo za maisha ya kawaida pia...he can do some thing in future
Hizo za mapenzi sie ndio tunazipenda,,,zingine tuwaachie waimbe kina Vicky Kamata
Mswahili mnafki sana...
Hapo akiwa analala usiku anamtumia baby wake dedication "ukilala lala salama kumbatia picha yangu"
Sasa kama dai angeimba ukimwi sijui angemdediketia nn baby wake hahaha.....
Binadamu,mabomu gongo la mboto sijui nazo mapenzi????
Hahahaaa nimecheka jamani...au wakizamia kwenye harusi za watu ikipigwa ngololo wanacheza mpaka jashooo.....baada ya hapo hawampendi Diamond...
Hahahaaa nimecheka jamani...au wakizamia kwenye harusi za watu ikipigwa ngololo wanacheza mpaka jashooo.....baada ya hapo hawampendi Diamond...
My number one je!!! Afu hapa wanakausha.
Hahahahahaaa... Ubinadamu kazi.
Mswahili mnafki sana...
Hapo akiwa analala usiku anamtumia baby wake dedication "ukilala lala salama kumbatia picha yangu"
Sasa kama dai angeimba ukimwi sijui angemdediketia nn baby wake hahaha.....
Binadamu,mabomu gongo la mboto sijui nazo mapenzi????
Umeona eeeeeee wanafiki mno ndio tulivyo binaadamuu
Lakini hakunaga anaefikia level za dAimond
Leo nlienda harusini mpiga tarumbeta full kupiga nyimbo za Diamond...kulinogaje sasaa...
Huyu anaehojiwa EATV hajui kiswahili niniii hhhhhaaaaa watu washakua wazungu hawajui kiswahiliiii