Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

kuna mahali nimeona ume tibua hali ya hewa halafu ume kimbia.

Hahahahah mkuu ni kweli nimetibua kweli yule mjinga anaugomvi na mimi tangu wamefungua ile thread mkuu nilipigwa ban kwa ajiri yake Leo tena nimechezea rafuuuu.
..
 
Huu uzi uwe maalum kwa watu wote wenye mapenzi mema na wanao mtakia mafanikio kimuziki na kimaisha kijana Naseeb Abdul "Chibu Dangote".

Wenye kutaka kumshauri na kumtia moyo kijana aendelee kupaa na kuiwakilisha Tanzania kimuziki basi mnakaribishwa hapa mje mtoe maoni yenu kwa management na team Diamond kwa ujumla wapi wanakosea wapi waongeze juhudi wapi wajirekebishe ili kijana aendelee kua "the baddest musician" in Tanzania na East Africa kwa ujumla.

kukosoa pia ni ruksa kwani no body is perfect.



Wale jirani wenye chuki,wivu na roho mbaya kwa vijana wenzao wanao onyesha mafanikio pia wana karibishwa humu ndani kutoa changamoto,kukejeri,kudharau na kutukana pia mnaruhusiwa kama mna akili timamu.


karibuni sana wadau.

hivi kuna uwezekano wa kulike thread mara milioni moja??
 
polisi jamii ntakuwa napita kuangalia watu wanaotaka kuichafua hii thread bora kabisa kuwahi tokea jamii forums
 
Wala sitaku kuupa huu uzi promo, kama wamemfungulia thread bwana yao, waache waendelee kumsifia na kumtukuza jinsi anavyowala tigo na kuwalipia bundle zao za kuingia JF, uzi wenyewe toka hasubuhi mpaka sasa umedoda, wanatafuta KICK niongee thread ijae ionekane kwamba wao ndo wao, apa wamechemsha, im too expensive for this league


we mbwa unamtukana nani???
 
hivi kuna uwezekano wa kulike thread mara milioni moja??

polisi jamii ntakuwa napita kuangalia watu wanaotaka kuichafua hii thread bora kabisa kuwahi tokea jamii forums

we mbwa unamtukana nani???

hapo alikua ana kojoa mkojo wa kawaida kweli? mbona kama ana upasha msuli moto mpaka miguu imeishiwa nguvu.[/QU


huyo warumi sijui nani naona anatukana watu humu....

Warumini mwanaume????lazima awe Gasho

Ngoja nikusaidie kuongeza page maana naona unaangaika peke yako, maana Kiba anaelekea page ya 70.
 
Last edited by a moderator:
frankly speaking mi nilikua najua warumi ni mdada kumbe ni wa kiume? ha ha ha.

Huu uzi umegeuka kuwa wa warumi tena sio diamond?? Ahahaha watu na nyota zetu bhana, endeleen kuongea maana mnazidi kunipa promo tu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom