Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Lawyer wangu unaniangusha!!Perception ya watu dhidi ya magaidi ni tofauti dhidi ya ushoga,hususani katika jamii ya kimataifa!Leo hii Beyonce akijiita Black widow itakua balaa!Au lady Gaga ajiite white widow itamharibia trust me!
Ms.Lincoln
Hili ni jina la kiarabu! nakubalia kabisa na hoja zako natamani ulicho kiandika ndio kingekuwa mwanzo wa thread! Nimetofautiana na mtoa mada maana ana onekana ana tatizo zaidi ya hilo jina!

Mimi ningependa tuwashauri watu huku tukiwapa moyo lakini si jinsi mtoa mada alivyo fanya anaonekana kabisa ana kandia kabisa! Pengine wasanii wetu wanahitaji ushauri maana hawajakamilika! Lakini ushauri ukitolewa kwa kashifa unaleta maana nyingine!
 
Last edited by a moderator:

Kweli. Kila sekta tunajipanga na sie tuonekane. Kukosoana huku tunashauriana ni muhimu sana. Ukiacha ufisadi km ESCROW na maovu mengine, tupeane moyo na kukosoana kwa kushauriana njia.
 
Last edited by a moderator:

Mtoa mada kaleta mada kimajungu......
 
Last edited by a moderator:

ana RANGE ROVER?? hongera sana aisee nimeipemda hii naomba picha plz
 
Sasa hivi diamond platnumz anajiita Monde bin Laden amin amin nawaambieni mziki wa uyu kijana utaishia tandale kama anataka kuvula level za kimataifa atafute majina yenye staha sio yanayopromote magaidi. Over
Ndugu, na wewe ulikuwa kwenye jumba la BBA nini? Kama ndivyo, karibu nyumbani lakini taarifa ambazo labda ulikuwa huzifahamu ni kwamba, si tu muziki wa Diamond umesha-cross mipaka ya Tandale, bali pia umesha-cross boarders za Tanzania na zile za East Africa kwahiyo suala la kwamba muziki wake utaishia Tandale halipo tena brada!
 

Kuna watu wanapenda kuabudiwa.. ht km umenisaidia sio kila nikikuona nipige magoti nikurambee....huko ni kutaka sifa fulani bila mimi....sio fair...u helped then ts done....huyi davido utoto na ushamba..cz nae ni wa tandale tu kwa huko naija kwao...so si unajua ukipata tako hulia mbwata
 
nacho fahamu Mullah ni cheo ama ngazi ya elimu ambayo amefikia muumin wa kiislam...kama uonavyo Mufti,Ayatollah n.k
SAWA KABISA, na Bin Laden ni jina sawa na Obama ambapo anaweza itwa Bin Obama au Bush ambae anaweza kuitwa Bin Bush; kwa kizungu, Obama/Bush's son!
 

Davido familia yao iko njema.
 
nikitiririka wenye msanii wao hawakawii kuniita hater hehehe bin ladden gaidi la kimataifa chezeya wewe
 
kumbe bado kapanga sinza aisee jamaa angemiliki mjumba wake
ookey na vipi magari yake na rasilimali zingine...picha plz kama unazo

mwanzisha uzi alikua na lengo zuri tuu lakini nyinyi mnamtoa kwenye mada!..hivi hamuoni ni dalili ya akili ndogo kujadili nyumba ya mtu? jadilini hiyo ishu ya jina ina impact kubwa kwa jamaa na wenzake wanaotaka kufika level za juu!..Mbona Diamond ni jina zuri tuu? mbwembwe za nini sasa au ndio akiachwa peke yake tuu anarudia akili za tandale?.anataka aongozwe hadi kwenye kuchagua jina la biashara?
 
Ookey just lucky for him...anyamaze basii

Ningekuwa manager wa diamond nisingemruhusu ajibu hiyo twitter kwa kuwa kibongo bongo kuwa ukiwa na beef na Davido unatengeneza attention kwa watu sawa ila haina faida yoyote ktk suala zima la kupanda ki music.
 
 

Huyo davido nae aache uffala na kujiona bila yeye watanzania wote tungekua mabwege tuu!.. yeye kamkuta diaomond tayari kesharekodi number one na ku shoot video nzuri tu south africa!.. yeye kamkuta diaomnd keshafika south hakumtoa tandale....na diamond nae aache ubwegge wake tunamtetea tu kwa sababu mtanzania mwenzetu ila mbwembwe zake za kike hatuzifagilii wala nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…