Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Huyo davido nae aache uffala na kujiona bila yeye watanzania wote tungekua mabwege tuu!.. yeye kamkuta diaomond tayari kesharekodi number one na ku shoot video nzuri tu south africa!.. yeye kamkuta diaomnd keshafika south hakumtoa tandale....na diamond nae aache ubwegge wake tunamtetea tu kwa sababu mtanzania mwenzetu ila mbwembwe zake za kike hatuzifagilii wala nini.
Ningekuwa manager wa diamond nisingemruhusu ajibu hiyo twitter kwa kuwa kibongo bongo kuwa ukiwa na beef na Davido unatengeneza attention kwa watu sawa ila haina faida yoyote ktk suala zima la kupanda ki music.[/QUOTE
Diamond kajibu.
?? I guess not...akae kimyaaaa...itakua na wifi zari kamshauri hehe...mama ubaya lzma angemwambia jibu jibu....lol...m joking
Wanamziki inabidi muwe na network mnasaidiana kama walivyoanza kumtoa dogo, pia kupeana issue za show za kimataifa, kwa hali hii Diamond anaweza kupata show Naija au Davido akapata show hapa wakashindwa kwenda kwa kuhofia vurugu za washabiki.
Huyo davido nae aache uffala na kujiona bila yeye watanzania wote tungekua mabwege tuu!.. yeye kamkuta diaomond tayari kesharekodi number one na ku shoot video nzuri tu south africa!.. yeye kamkuta diaomnd keshafika south hakumtoa tandale....na diamond nae aache ubwegge wake tunamtetea tu kwa sababu mtanzania mwenzetu ila mbwembwe zake za kike hatuzifagilii wala nini.
Sasa hivi diamond platnumz anajiita Monde bin Laden amin amin nawaambieni mziki wa uyu kijana utaishia tandale kama anataka kuvula level za kimataifa atafute majina yenye staha sio yanayopromote magaidi. Over
Hapo ndipo yalipo matatizo yetu mashabiki... tunataka kuchambua kila kinachoandikwa na matokeo kila siku tunaishia kwenye negative perception na hivyo kuendelea kuchochea mabifu among artists! Unfortunately, wasanii wenyewe karibu mara zote wanakuwa caught off-guard na kuzolewa zolewa na tafsiri za mashabiki! Kwanini hukuiangalia hiyo tweet in more positive way na uamini kwamba anamsema Diamond? Full tweet ya Davido ipo hivi: "An ungrateful stone will eventually fall... I will always be grateful to pple that have helped me climb this tall ladder of success..."davido ame tweet tena
'kama usipowashukuru waliokupandisha ipo siku utashuka tu' SWALI JE WHY KILA BAADA YA KUFANYA KAZI NA MTU HUGOMBANA NAE???
I love this dude ila nahisi anaofanya nae kazi hawa,shauri kwa vitu vidogo vidogo
mziki sio kuimba tu is all about conection na kujuana na watu na kujulikana kwa jina ZURI
WHY BIN LADEN????
Hapo ndipo yalipo matatizo yetu mashabiki... tunataka kuchambua kila kinachoandikwa na matokeo kila siku tunaishia kwenye negative perception na hivyo kuendelea kuchochea mabifu among artists! Unfortunately, wasanii wenyewe karibu mara zote wanakuwa caught off-guard na kuzolewa zolewa na tafsiri za mashabiki! Kwanini hukuiangalia hiyo tweet in more positive way na uamini kwamba anamsema Diamond? Full tweet ya Davido ipo hivi: "An ungrateful stone will eventually fall... I will always be grateful to pple that have helped me climb this tall ladder of success..."
Katika tweet zilizofuata, kwenye hiyo tweet, akaandika: "27th @HisGraceStoberA: iam_Davido HOST UR FANS IN LAGOS TO A FREE SHOW TO SHOW UR SINCERE APPRECIATION ITS XMAS BRUV
Sasa kwanini usione alichomaanisha Davido ndo hicho kwamba, kwa kuthamini wale waliompandisha, yaani mashabiki, 27th ameamua kupiga Free Show kuonesha appreciation kwa wale waliompandisha....!!! Lakini Wabongo kama kawaida, kwa kupenda kuchochea mabifu, tunaona anamsema Diamond!!!!
Aliye kwambia kujiita Bin laden ni kupromote ugaidi ni nani?
Kwa hiyo akitokea mtu akamuita mwanae Elton atakuwa ana promote ushoga?
Kuna watu wanapenda kuabudiwa.. ht km umenisaidia sio kila nikikuona nipige magoti nikurambee....huko ni kutaka sifa fulani bila mimi....sio fair...u helped then ts done....huyi davido utoto na ushamba..cz nae ni wa tandale tu kwa huko naija kwao...so si unajua ukipata tako hulia mbwata
Endelea kupiga kelele ye anaendelea kupiga kazi
Kuwa na followers wengi ndio mafanikio ajabu hiyo......., I know Davido yuko next level but huwezi kuanza kuweka idadi ya followers kama mafanikio
Kwanza Davido tulikua hatumjui sie katoa nyimbo na Daimond ndio tukamjua,akwendreeee na sura yake chachu
Huyu Davido ana ujinga fulani na anapenda kuabudiwa! Yani kumsaidia mtu ndio asiseme kama umekosea? Diamond alinifurahisha sana alicho kiandika!
Huyu Davido ana ujinga fulani na anapenda kuabudiwa! Yani kumsaidia mtu ndio asiseme kama umekosea? Diamond alinifurahisha sana alicho kiandika!
Huyu Davido ana ujinga fulani na anapenda kuabudiwa! Yani kumsaidia mtu ndio asiseme kama umekosea? Diamond alinifurahisha sana alicho kiandika!
kwani anavyoitwa Nassib Abdul watu wamelalamika!? tumia kichwa kufikiri wacha kutumia makagare...angejiita john au paul wala tusingelalamika.haya mawazo ya majina ya kiarabu ni ugaidi sijui tumetoa wapi?
nikitiririka wenye msanii wao hawakawii kuniita hater hehehe bin ladden gaidi la kimataifa chezeya wewe
Hard Work pays, hilo halina ubishi lakini mwenye mapenzi (sio ushabiki) na Diamond hawezi kufurahia hata siku moja kuona mtu wake anaingia kwenye mabifu yasiyo na tija... watu tunao-dis hii kitu kuna wengine wanadhani tunamtetea Davido kumbe tunamtetea mtu wetu asijiingize kwenye mambo yasiyo na tija! Leo hii mashabiki wa Kiba hapa Bongo hata wamchukie vipi Diamond bado haitamuathiri coz' tayari Diamond ana mashabiki kibao nyuma yake hapa TZ! Hali kadhalika, leo hii mashabiki wa Diamond hata wamchukie vipi Kiba, haitamuathiri Kiba coz' tayari ana mashabiki kibao nyuma yake! Kuna watu leo hii wanamchukia Kiba kwa sababu tu wao ni watu wa Diamond na kinyume!!!Tutake tusitake, mashabiki wa Diamond wanaishia kwenye mipaka ya East Africa!Take this 'HARD WORK PAYS'' and thas DIAMOND.
kwani anavyoitwa Nassib Abdul watu wamelalamika!? tumia kichwa kufikiri wacha kutumia makagare...
Hard Work pays, hilo halina ubishi lakini mwenye mapenzi (sio ushabiki) na Diamond hawezi kufurahia hata siku moja kuona mtu wake anaingia kwenye mabifu yasiyo na tija... watu tunao-dis hii kitu kuna wengine wanadhani tunamtetea Davido kumbe tunamtetea mtu wetu asijiingize kwenye mambo yasiyo na tija! Leo hii mashabiki wa Kiba hapa Bongo hata wamchukie vipi Diamond bado haitamuathiri coz' tayari Diamond ana mashabiki kibao nyuma yake hapa TZ! Hali kadhalika, leo hii mashabiki wa Diamond hata wamchukie vipi Kiba, haitamuathiri Kiba coz' tayari ana mashabiki kibao nyuma yake! Kuna watu leo hii wanamchukia Kiba kwa sababu tu wao ni watu wa Diamond na kinyume!!!Tutake tusitake, mashabiki wa Diamond wanaishia kwenye mipaka ya East Africa!
Wakati mashabiki wake wanaishia East Africa, hivi sasa ndio alikuwa anajenga base kwenye maeneo mengine ya Africa, hususani NIgeria! Leo hii nitakuwa mtu wa ajabu sana nikikataa ukweli kwamba featuring yake na Davido ndiyo iliyomfanya atambulike nchini Nigeria na sehemu zingine Afrika! Wakati haya yanatokea, Diamond sio msanii wa kwanza TZ kufanya featuring na wasanii wa Nigeria... wapo AY, Mwan-FA na Ommy Dimpoz! Lakini ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua tofauti ya featuring za akina Dimpoz na hii ya Diamond... wakati za wenzake zilibaki kama ushirikiano wa kikazi tu, hii ya Diamond ikageuka ikawa ushikaji!
Kwa upande mwingine, kuna mashabiki kibao TZ ambao walimfuata Chibu kwavile tu wao wana mahaba na Wema na kv Wema na Diamond walikuwa ni dam dam, nao wakapeleka mapenzi yao na kwa Diamond vile vile! Hali kadhalika, wapo mashabiki kibao ambao walionesha love kwa Wema lakini root ya mapenzi yao ilikuwa kwa Diamond! Ukiangalia ukweli huo, bila shaka wapo mashabiki kibao wa Nigeria ambao walianza ku-show love kwa Chibu kwavile tu wao ni mashabiki wa Davido na kwa kuwa Davido na Chibu wanaonekana ni washikaji wakapeleka mapenzi yao kwa mshikaji wa mtu wao... kama ambavyo hivi sasa wabongo wanavyoonesha love kwa Zari!!
Kama ilivyotokea kwa mashabiki wa Wema ambao walikuwa wanaonesha love kwa Chibu kwa ajili ya Wema na sasa kuwa maadui wa Chibu kwavile tu Wema na Chibu sasa si wamoja... ndivyo hivyo itakavyotokea kwa mashabiki wa Davido ambao waliamua ku-show love kwa Chibu kwa ajili ya Davido na ikiwa kutakuwa na chuki kati ya Davido na Chibu, mashabiki hawa hawatakuwa tena na sababu ya ku-show love kwa Chibu!
Mashabiki wa Wema hata wakiamua kumgeuka Chibu bado Chibu hawezi kutetereka kv tayari ana base ya kutosha hapa East Africa... lakini kule Nigeria, hiyo base Chibu hana... ndo kwanza alikuwa anaanza kuijenga!
UKiangalia ukweli huo, mtu mwenye mapenzi ya dhati kwa Diamond hawezi kufurahia kuona uhasama huu wakati ndo kwanza alikuwa anaanza kujenga base kule Nigeria! Anaweza kufanya featuring na other Naijas lakini Chibu na Davido ilikuwa ni zaidi ya uhusiano wa kikazi!!! Leo hii naona mashabiki wa Diamond na wale ambao wala sio wa Diamond wanafurahia... tukubali tusikubali, wala hatumsaidii!! Hawa hawa ambao leo hii wanajifanya kum-support Chibu wakati huko nyuma wala hatujaona wakim-support zaidi ya kumponda, ndio kesho watageuka kuwacheka nyinyi ambao mmekuwa mkim-support Chibu since then!!
Niishie tu kusema kwamba, waungwana wanashabikia kujenga na sio kubomoa! Hakuna ubishi kwamba Diamond ni hard worker but unless kama tunaamini nchi hii tangu ianze hajatokea hard worker kweney sekta ya muziki zaidi ya Diamond, ndipo tunaweza kuwa na kiburi na kutamba it's only his hardworking ndiyo imemfikisha pale alipo!
Mkuu Ruta, nakufahamu tangu zamani... wewe uwezo wako wa kufikiria upo mbali zaidi ya hapa... don't believe everything watu wanachosema hapa... huyo masai dada ame-exaggerate tweet ya Davido... kwanza, ame-quote nusu tu ya hiyo tweet! Full tweet anasema "mtu asiye na shukurani lazima ipo siku ataanguka, nami sina budi kuwashukuru wote walionifikisha hapa...!" Hiyo ndio tweet yenyewe. Na katika ufafanua zaidi akasema tarehe 27/12 anafanya show ya bure mjini Lagos kama njia ya kuwashukuru wale waliomfikisha alipo... yaani mashabiki wake! Wabongo kama kawaida yetu, mtu akaidaka hiyo tweet na kuja haoa kusema eti anamsema Diamond... wapi na wapi!!Huyu Davido ana ujinga fulani na anapenda kuabudiwa! Yani kumsaidia mtu ndio asiseme kama umekosea? Diamond alinifurahisha sana alicho kiandika!