chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Ngoja nilicheck....
Wanaziunganisha sana tu sema ila wakiziunganisha zinamiminika zingine! Few days ago tuliwa-tip Moderator waziunganishe na wakafanya hivyo lakini baada ya muda zikamiminika zingine!!! Na inavyoelekea, jukwaa lenye moderators wa kutosha ni kule kwenye siasa na bila shaka kwa sababu za wazi kabisa; mosi kule ndo kumejaa tension among members na thread zinazomiminika kule ni mara dufu ya huku....Mod wangekua sometime wana ziunganisha thread zinazo muhusu diamond moja kwa moja maana wana tupa shida kuchangia thread zaidi ya tano za diamond
uko vizuri sana aisee kawakumbuka na watoto wa tandale
Wadau ngoma gani tena hlo'@ sina habari.
Kenya wameshow big love kwa mondi big up wanamombasa
Picha sasa
Gudnite Guys.....Ukimuona ndo wimbo wangu wa kusakia usingizi usiku huu....
Hapo lazima ulale
Gudnite Guys.....Ukimuona ndo wimbo wangu wa kusakia usingizi usiku huu....
Wiki iliyopita nimefuatilia sana mambo ya Diamond nikagundua yafuatao. Ugunduzi wangu siyo conclusive kwa hiyo wapenzi na maadui wa Diamomd msinishambulie.
Diamond ana kipaji sana cha muziki katika utunzi na uimbaji; ana vocals nzuri sana zilizotulia. Hata hivyo tunzo zake nyingi huwa zina makosa kadhaa ingawa ni machache sana ukilingaisha na tungo za wabongo wengine wote katika nyanja yake. Makosa yake mengi yanakuwa ni ya ufahamu au kielimu kuliko ya kisanii, kwa mfano alipoimba wimbo wake mpya mkubwa wa "Nitampata wapi" message yake kubwa ilikuwa ni kuhusu kusalitiwa na mpenzi na anajuta atampata wapi mwingine kama huyo. Wimbo huo una melody nzuri sana ambayo kila mtu ataipenda. Melody yake nzuri inauza sana hata kwa yule asiyejua utunzi wenyewe. Sasa mapungufu ya wimbo ule yako kwenye kwenye video yenyewe na ujumbe wenyewe. Kwenye video hakuonyesha jinsi alivyosalitiwa, na kwenye mesagge yenyewe alishindwa kuonyesha kuwa kusalitiwa huko kulim-affecet vipi, badala yake ana rap tofauti ya plus na msalaba, au X na kuzidisha from noweher bila kuiunganisha na story line. Watu wa Theater Arts na Literature wanaweza kusaidia jibu la swali hilo. Inawezekana aliacha mipasho ndiyo itume ujumbe wake lakini huo ni upungufu katika mziki. Kwa vile nina nyimbo zake nyingi ambazo huwa napenda midundo yake lakini siyo mashairi yenyewe, sitapenda kwenda mbali zaidi ya hapo.
chukua muda wako tena ku uelewa ule wimbo....kwa msaada zaida nenda u tube " diamond afunguka kuhusu wema na zari" utaskia alivyo izingumzia video yake ya ntampata wapi.
Wewe ni shabiki sana unadhani kila anyaekosoa basi ni adui, hapana, mimi siyo shabiki wa mwanamuziki yeyote, napenda nyimbo zote nzuri na ninajua muziki vizuri sana.chukua muda wako tena ku uelewa ule wimbo....kwa msaada zaida nenda u tube " diamond afunguka kuhusu wema na zari" utaskia alivyo izingumzia video yake ya ntampata wapi.