Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mod wangekua sometime wana ziunganisha thread zinazo muhusu diamond moja kwa moja maana wana tupa shida kuchangia thread zaidi ya tano za diamond
Wanaziunganisha sana tu sema ila wakiziunganisha zinamiminika zingine! Few days ago tuliwa-tip Moderator waziunganishe na wakafanya hivyo lakini baada ya muda zikamiminika zingine!!! Na inavyoelekea, jukwaa lenye moderators wa kutosha ni kule kwenye siasa na bila shaka kwa sababu za wazi kabisa; mosi kule ndo kumejaa tension among members na thread zinazomiminika kule ni mara dufu ya huku....
 
Last edited by a moderator:
hivi Wakuu kwanini tusitumie hizi thread zetu mbili za platnumz na kiba kwa ajili ya kuwahamasisha wakali hao kupatana ? ( wanasema hakuna ugomvi, lakini dizain kama upo vile )..tuanze na sisi wenyewe mashabiki kupatana...nnavojua mimi ukiwa mshabiki wa kiba sio lazima umchukie platnumz na vile vile mshabiki wa platnenga sio lazima amchukie Ally...sauti zao wote kali ( usibishe ukasema nasibu au ally peke yake, sikiliza nalia na mengi ya platnumz na far away ya kiba halaf ndo uje ubishe )...tukianza sisi washabiki kua pamoja wenyewe hawawezi kutukuza tofauti zao...pengine/labda hawataki kujishusha kwasababu hawataki kuwadisappoint mashabiki wao ambao kwa namna moja ama nyingine wanafikiri wanapenda tofauti zao...!

haina haja ya kumzomea kiba kua kafulia eti kisa platnumz kawa nominated BET yeye hajawa nominated, au kumzomea platnumz kwa skendo zake nyingi ambazo hazihusiani na mziki wake.

who knows labda mwakani Ally atakua nominated BET na atapata tuzo unlike diamond ambae aliishia kua nominated tu!

au labda nasibu hizo skendo unazozisikia nayeye hazipendi na ni watu wa vyombo vya habari tu wanaona hawawezi kuuza stori zao bila kumuweka yeye ambae ni talk of the town sasa hivi.

Tuungane kwa pamoja, Tanzania ina watu wachache sana ukilinganisha na nchi kama Marekani na Nigeria ambazo zimeendelea kimuziki, tukianza kujigawa siku za uhai wetu kimuziki globally zinahesabika.

BongoFleva Moja yenye Nasib Abdul Juma na Ally Saleh Kiba wasio na tofauti inawezekana na inaanza nawewe shabiki wa upande mmoja unaechukia upande wa pili bila sababu..!

Ndugu zangu Matola na Chinga One tuweni agents wa hili..!
 
kabla ya kuwapatanisha ni lazima wao wenyewe kwanza wafungue accounts hapa jf kisha waperuz nyuzi zao waone jins fans wanavowakubali,wajibu maswali yetu kisha mpango huo utafata.

diamond Platnumz Fungua akaunt kwanza
 
Last edited by a moderator:
Gudnite Guys.....Ukimuona ndo wimbo wangu wa kusakia usingizi usiku huu....
 
Wiki iliyopita nimefuatilia sana mambo ya Diamond nikagundua yafuatao. Ugunduzi wangu siyo conclusive kwa hiyo wapenzi na maadui wa Diamomd msinishambulie.

Diamond ana kipaji sana cha muziki katika utunzi na uimbaji; ana vocals nzuri sana zilizotulia. Hata hivyo tunzo zake nyingi huwa zina makosa kadhaa ingawa ni machache sana ukilingaisha na tungo za wabongo wengine wote katika nyanja yake. Makosa yake mengi yanakuwa ni ya ufahamu au kielimu kuliko ya kisanii, kwa mfano alipoimba wimbo wake mpya mkubwa wa "Nitampata wapi" message yake kubwa ilikuwa ni kuhusu kusalitiwa na mpenzi na anajuta atampata wapi mwingine kama huyo. Wimbo huo una melody nzuri sana ambayo kila mtu ataipenda. Melody yake nzuri inauza sana hata kwa yule asiyejua utunzi wenyewe. Sasa mapungufu ya wimbo ule yako kwenye kwenye video yenyewe na ujumbe wenyewe. Kwenye video hakuonyesha jinsi alivyosalitiwa, na kwenye mesagge yenyewe alishindwa kuonyesha kuwa kusalitiwa huko kulim-affecet vipi, badala yake ana rap tofauti ya plus na msalaba, au X na kuzidisha from noweher bila kuiunganisha na story line. Watu wa Theater Arts na Literature wanaweza kusaidia jibu la swali hilo. Inawezekana aliacha mipasho ndiyo itume ujumbe wake lakini huo ni upungufu katika mziki. Kwa vile nina nyimbo zake nyingi ambazo huwa napenda midundo yake lakini siyo mashairi yenyewe, sitapenda kwenda mbali zaidi ya hapo.
 
chukua muda wako tena ku uelewa ule wimbo....kwa msaada zaida nenda u tube " diamond afunguka kuhusu wema na zari" utaskia alivyo izingumzia video yake ya ntampata wapi.
 
chukua muda wako tena ku uelewa ule wimbo....kwa msaada zaida nenda u tube " diamond afunguka kuhusu wema na zari" utaskia alivyo izingumzia video yake ya ntampata wapi.

yaan watu kama hao ni wakuwapotezea tu maana anataka kutuambia kuwa video haijaendana na wimbo nadhan altaka kumwona diamond analia au yupo ktandan kalala na huzun...cha ajabu iktoka video ya mwana atatuambia ni vidio nzuri wakat bila shaka muimbaj atakuwa ana kata viuno while ile ni nymbo ya malezi
 
chukua muda wako tena ku uelewa ule wimbo....kwa msaada zaida nenda u tube " diamond afunguka kuhusu wema na zari" utaskia alivyo izingumzia video yake ya ntampata wapi.
Wewe ni shabiki sana unadhani kila anyaekosoa basi ni adui, hapana, mimi siyo shabiki wa mwanamuziki yeyote, napenda nyimbo zote nzuri na ninajua muziki vizuri sana.

Hiyo video siyo abstract kama ilivyokuwa number 1 remix ambayo haina storyline, video hii hiyo ina storyline inayojulikana wazi ikiendana na mashairi ya wimbo. Tatizo ni kuwa video ina mapengo yasiyoendana na storyline. Nimesoma sehemu nyingine Diamond mwenyewe akikiri kuwa ilibidi warudie tena video kwa vile director hakuwa anajua lugha ya kiswahili kwa hiyo ikawa video haiendani na mashairi. Pamoja na kurudia bado kuna huo upungufu. Nadhani wewe ni shabiki asiyeangalia pande zote za wimbo, unachukua mradi ni wimbo wa Diamond. Iwapo Diamond mwenyewe alikiri mapungufu hayo wewe unatokea wapi.
 
Back
Top Bottom