Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond achukua tuzo nyingine nchini marekani.......#all we do is win win no matter what...!!!!
 

Attachments

  • 1418907432681.jpg
    57.5 KB · Views: 251
nna swali wadau...kwenye video ya moyo wangu kuna party diamond anakutana na wema akifanyiwa make up kwa ajili ya movie i think so...ie ilikuwa imepangwa au ilitokea accidentally
 
nna swali wadau...kwenye video ya moyo wangu kuna party diamond anakutana na wema akifanyiwa make up kwa ajili ya movie i think so...ie ilikuwa imepangwa au ilitokea accidentally

Ile ilipangwa....Chezea Adam Juma
Ila mimi napenda pale petrol station wale wahudumu wanavyocheza nae
 
..Samahani, ile Morano alimuachia?
au...kama alimuachia sasa anajisikiaje
anapoiendesha?
 
naona kiba anamkubali sana diamond…kwenye video yake mpya naona kanyoa kama diamond
 

Attachments

  • 1418985688063.jpg
    63.5 KB · Views: 178
  • 1418985707059.jpg
    55.1 KB · Views: 172
  • 1418985732624.jpg
    58.8 KB · Views: 172
  • 1418985749410.jpg
    52.2 KB · Views: 157
  • 1418985815303.jpg
    52.2 KB · Views: 162
  • 1418985830229.jpg
    48.3 KB · Views: 157
  • 1418985845630.jpg
    48.5 KB · Views: 157
  • 1418985862354.jpg
    85.1 KB · Views: 166
Inshu za kifamilia kuleta jf inahuuu???? huku nani atakusaidia zaidi ya kujichoresha tu????
mie huwa nashangaa labda sielewi!!!
 
Diamond Platinumz ana CV kubwa kimataifa !
Anaitangaza vyema Tanzania kwa kazi zake zinazotokana na kujituma, kujitambua, kuipenda na kazi yake.
Tembelea mwenyewe hapa

http://en.m.wikipedia.org/wiki/Diamond_Platnumz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…