Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Subirini nyakati. Hamjiulizi umaarufu na utajiri wa ghafla unatoka wapi?

Hamjiulizi katika bongo movie olokuwa hivi hivi kwa Kanumba?

Hivi mnajua kuwa Michael Jackson kwa sababu gani aliimba wimbo wa heal the world akionyesha mauji na unyanyasaji wa wapalestina na somalia? Nini kilimkuta baadae?

Hivi hamjiulizi umaarufu wa Bob Marley ulikujaje? Mnajua kuwa kifo cha Bob na Michael kimsingi vina source sawa - conflicts na hao secret societies wanaomuwezesha na kumpa umaarufu kupitia umiliki wao wa vyombo vya habari? Wakitaka ujulikane ni sekunde tu? Jiulize au fuatilia Robert Nesta Marley ilikuwaje akaitwa Bob? Unajua?

Basi, nimesema ni masuala ya muda tu lakini usione vyaelea, vimeundwa ndugu yangu.
 
Reactions: Mit
Ukiniambia domo anajihusisha na unga nitaamini, hayo masociety yanatumika Kama kuficha mambo ya mapowderrrrrrrr
 
Diamond akili yake inakua timamu kwenye kufanya mziki tu na kwenye mziki namkubali lakini kwenye akili ya kawaida naona bado hajaiva.

Sasa alitegemea wamzalie watoto wakati hajawaoa au alitaka kuonekana kidume kuwajaza mimba ili magazeti yauzwe, kama ana shida na mtoto kwanini asioe?

Hizi issue za kutaka watoto kwa njia za kihuni ni kuu support uhuni alafu Diamond hana haja ya kua muhuni kwa sababu ni msanii mzuri ambaye anakubalika hivyo ni vyema atunze heshima yake.
 

Well said
 

akubali tu ni tasa, kuwa na mguu wa mtotot sio sababu
 
Ni msanii wa kimataifa anayevuma Afrika na hasa nchini mwake Tanzania !
... halafu, hivi wanaojaribu kumlinganisha na Ali Kiba huwa wana maana gani ?


Kiba kafwata nini hapa diamond!!!?
 
STAA anayetamba na ngoma mpya ya Nitampata Wapi, Nasibu Abdul ' Diamond ' na mtoto mzuri kutoka Uganda, Zarina Hassan ' Zari The Boss Lady ' wameoneshana malovee hadharani na kuwaacha watu midomo wazi.

Tukio hilo lililoacha historia ya aina yake kwa kutokana na umaarufu wa wawili hao, lilitokea Jumatano iliyopita, nchini Uganda wakati Zari alipokwenda kumpokea Diamond katika Uwanja wa Ndege wa Kampala nchini humo.

Kwa mujibu wa chanzo kilichoambatana na Diamond, Zari alimpokea mgeni wake kwa mabusu motomoto na msafara wa kwenda hotelini ulipoanza, walipewa ulinzi mzito hadi hotelini ambako kila wakati wawili hao walipeana mabusu ya kiaina kuonesha ' wamemisiana '.

Alipotafutwa Diamond kwa njia ya simu ya mkononi, hakutaka kufungukia mahaba hayo yaliyozua gumzo zaidi ya kucheka na kusema amejiandaa vilivyo kumpa sapoti Zari katika shoo yake ya All White Part iliyotarajiwa kufanyika juzi nchini humo. " Mwanangu nimejipanga , kitanuka mbaya katika hii shoo si unajua huwa sirudi nyuma ?" alisema Diamond.
 

Attachments

  • 1419055360711.jpg
    63 KB · Views: 540
  • 1419055370389.jpg
    58.5 KB · Views: 504
  • 1419055383489.jpg
    88.1 KB · Views: 509
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…