warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Nimeamin kweli lisemwalo lipo kumbe menina ilikuwa kweli😨
jamaa anahangaika na mademu uwezo wa kuwazalisha hana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamin kweli lisemwalo lipo kumbe menina ilikuwa kweli😨
Nimeamin kweli lisemwalo lipo kumbe menina ilikuwa kweli😨
Jamaa yupo kimataifa zaidi !Tazama al Jazeera diamond kipindi maalum jamaa yuko mbali sana
Subirini nyakati. Hamjiulizi umaarufu na utajiri wa ghafla unatoka wapi?
Hamjiulizi katika bongo movie olokuwa hivi hivi kwa Kanumba?
Hivi mnajua kuwa Michael Jackson kwa sababu gani aliimba wimbo wa heal the world akionyesha mauji na unyanyasaji wa wapalestina na somalia? Nini kilimkuta baadae?
Hivi hamjiulizi umaarufu wa Bob Marley ulikujaje? Mnajua kuwa kifo cha Bob na Michael kimsingi vina source sawa - conflicts na hao secret societies wanaomuwezesha na kumpa umaarufu kupitia umiliki wao wa vyombo vya habari? Wakitaka ujulikane ni sekunde tu? Jiulize au fuatilia Robert Nesta Marley ilikuwaje akaitwa Bob? Unajua?
Basi, nimesema ni masuala ya muda tu lakini usione vyaelea, vimeundwa ndugu yangu.
Jamaa yupo kimataifa zaidi !

siamini kama bado upo!!!
achana nae huyo... yaani Al jazeera waache kuonyesha machafuko ya syria na huko palestina au wanaojitoa mhanga Iraq eti wamuonyeshe Dangote... maavi! Al jazeera wapo busy na habari za mauaji bwana!
Watakirudia nadhani hicho kipindi kinahusu Sanaa na wasanii wa africa,al Jazeera English
Sijui kwanini watu mnapenda conspirancy theories. Ingekuwa kweli basi asingekuwa ana invest ela nyingi na juhudi nyingi kwenye kazi zake.
Watu kama nyinyi ndiyo mnaotaka kila mtu awe maskini akitokea mmoja akawapga gap mnaanza story za kujipa matumaini.
Hivi mtu akiwa mashuhuri ndiyo asife? Kanumba alikufa coz kila mtu ataonja umauti, ukishazaliwa lazima ipo siku utakufa tu.
Tafakari acha mawazo mgando kijana.
Bob ni acronym/abbreviation ya Robert kama ilivo Bill kwa William au Ted kwa EdwardSubirini nyakati. Hamjiulizi umaarufu na utajiri wa ghafla unatoka wapi?