RJ-White
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 744
- 752
Subirini nyakati. Hamjiulizi umaarufu na utajiri wa ghafla unatoka wapi?
Hamjiulizi katika bongo movie olokuwa hivi hivi kwa Kanumba?
Hivi mnajua kuwa Michael Jackson kwa sababu gani aliimba wimbo wa heal the world akionyesha mauji na unyanyasaji wa wapalestina na somalia? Nini kilimkuta baadae?
Hivi hamjiulizi umaarufu wa Bob Marley ulikujaje? Mnajua kuwa kifo cha Bob na Michael kimsingi vina source sawa - conflicts na hao secret societies wanaomuwezesha na kumpa umaarufu kupitia umiliki wao wa vyombo vya habari? Wakitaka ujulikane ni sekunde tu? Jiulize au fuatilia Robert Nesta Marley ilikuwaje akaitwa Bob? Unajua?
Basi, nimesema ni masuala ya muda tu lakini usione vyaelea, vimeundwa ndugu yangu.