Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mtusi wangu ananiambia sina mapenzi kama ya diamond. Eti diamond anajua mapenzi. 😂
 

Unataka kuniambia diamond yupo secret societies nitakuwa nakupiga % 100! yule anatumia scandal za wanawake kusafirisha madawa ya kulevya n wapo vigogo wenye hela tena kwenye ctase tinye wanamtumia dogo na yule hawezi kudakwa maana tayar ameshajijengea jina kubwa
 
C aoe waze bila ndoa ili kiwe nn...
Watt wa mitaani wanatosha asituletee balaa
 

Sijui kwanini watu mnapenda conspirancy theories. Ingekuwa kweli basi asingekuwa ana invest ela nyingi na juhudi nyingi kwenye kazi zake.
Watu kama nyinyi ndiyo mnaotaka kila mtu awe maskini akitokea mmoja akawapga gap mnaanza story za kujipa matumaini.
Hivi mtu akiwa mashuhuri ndiyo asife? Kanumba alikufa coz kila mtu ataonja umauti, ukishazaliwa lazima ipo siku utakufa tu.
Tafakari acha mawazo mgando kijana.
 
Jamaa yupo kimataifa zaidi !

achana nae huyo... yaani Al jazeera waache kuonyesha machafuko ya syria na huko palestina au wanaojitoa mhanga Iraq eti wamuonyeshe Dangote... maavi! Al jazeera wapo busy na habari za mauaji bwana!
 
achana nae huyo... yaani Al jazeera waache kuonyesha machafuko ya syria na huko palestina au wanaojitoa mhanga Iraq eti wamuonyeshe Dangote... maavi! Al jazeera wapo busy na habari za mauaji bwana!

Sijui unabisha kitu gani wakati hujaona, mimi nimeona asubuhi ya leo hicho kipindi, wewe unaleta ubishi tu wa kilabuni au mbege zimepanda?
 
ajitahidi amtotoleshe zari kamoja ka kike, kuna mahali nliona zari anasema anatamani wa kike
 
Msanii lazima maisha yake yawavutie watu basi dai amefanikiwa sana kuhuu hilo mnaomlinganisha na wasanii wa hapa local mtasubir sana
 

well said
 
Bob ni acronym/abbreviation ya Robert kama ilivo Bill kwa William au Ted kwa Edward
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…