King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
perhaps this will help, Mombasa thingHuyo ndio mzee Yusuf na Jahazi lake.
Labda wewe ni mgeni hapa mjini, hapo mfalme ni Mzee Yusuf.
King Kiba alikuwepo hapo?
Ikulu ya Mkwele hata Matonya angekwenda haina hadhi.
Ukikubaliwa na Mkwele jitazame upya mtakuwa mnafanana akili na ujinga. Ay alialikwa ikulu ya Obama.
Hao ni wapenzi wa Jahazi.
Mfalme hapo ni mzee Yusuf tu.
Shigongo bwana,sold out show kumbe ya darlive ukumbi kama sebule,je ingekuwa madison square garden?
King Kong III mkuu binafsi sikuwahii kuingia dar live ila jana nilipata nafas kuingia pale ndani..kiukweli ukumbi ni mdogo mno siyo utani. shigongo afanye utaratibu atafute sehemu ingine.
Kuna watu wana IQ ya chini sana ... mi roho inaniuma kuona mtanzania mwenzangu anasifia upuuzi na bado kuna wenzake wanamsupport....thread za kitoto zimejaa kibaoo JF now a days.....watu wengi tumekuwa wavivu wa fikra....
Acha wivu wewe mtoto. ......[/QUOTE
Tazameni jinsi vichwa vilivyooza
Kuna watu wana IQ ya chini sana ... mi roho inaniuma kuona mtanzania mwenzangu anasifia upuuzi na bado kuna wenzake wanamsupport....thread za kitoto zimejaa kibaoo JF now a days.....watu wengi tumekuwa wavivu wa fikra....
Kwa DarLive hata young tuso peke yake anajaza ukumbi achilia mbali timbulo.
perhaps this will help, Mombasa thing
https://www.youtube.com/watch?v=cU-T70OwTSI