Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Shigongo bwana,sold out show kumbe ya darlive ukumbi kama sebule,je ingekuwa madison square garden?
 
Huyo ndio mzee Yusuf na Jahazi lake.

Labda wewe ni mgeni hapa mjini, hapo mfalme ni Mzee Yusuf.

King Kiba alikuwepo hapo?

Ikulu ya Mkwele hata Matonya angekwenda haina hadhi.

Ukikubaliwa na Mkwele jitazame upya mtakuwa mnafanana akili na ujinga. Ay alialikwa ikulu ya Obama.

Hao ni wapenzi wa Jahazi.

Mfalme hapo ni mzee Yusuf tu.
perhaps this will help, Mombasa thing
https://www.youtube.com/watch?v=cU-T70OwTSI
 
King Kong III mkuu binafsi sikuwahii kuingia dar live ila jana nilipata nafas kuingia pale ndani..kiukweli ukumbi ni mdogo mno siyo utani. shigongo afanye utaratibu atafute sehemu ingine.
 
Last edited by a moderator:
kitu alicho kifanya domo jana acheni kabisa alikiba nenda tena uka vuke mtoo huyu jama si dhani kama uta mpata. domo ni fundi wa mziki .kwa dizaini ile domo hachuji leo wala kesho.. duuuuh.....
 
Fikiria kuhusu shigo alivyoitangaza hiyo part acha ukiba na dio
 
Kuna watu wana IQ ya chini sana ... mi roho inaniuma kuona mtanzania mwenzangu anasifia upuuzi na bado kuna wenzake wanamsupport....thread za kitoto zimejaa kibaoo JF now a days.....watu wengi tumekuwa wavivu wa fikra....
 
King Kong III mkuu binafsi sikuwahii kuingia dar live ila jana nilipata nafas kuingia pale ndani..kiukweli ukumbi ni mdogo mno siyo utani. shigongo afanye utaratibu atafute sehemu ingine.

Kwa DarLive hata young tuso peke yake anajaza ukumbi achilia mbali timbulo.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wana IQ ya chini sana ... mi roho inaniuma kuona mtanzania mwenzangu anasifia upuuzi na bado kuna wenzake wanamsupport....thread za kitoto zimejaa kibaoo JF now a days.....watu wengi tumekuwa wavivu wa fikra....

Acha wivu wewe mtoto. ......
 
Kuna watu wana IQ ya chini sana ... mi roho inaniuma kuona mtanzania mwenzangu anasifia upuuzi na bado kuna wenzake wanamsupport....thread za kitoto zimejaa kibaoo JF now a days.....watu wengi tumekuwa wavivu wa fikra....

loosen up hommie...sio kila saa ba mutu unakua siriasi tuu..halafu hili ni jukwaa la macelebrity...cunajua..
 
perhaps this will help, Mombasa thing
https://www.youtube.com/watch?v=cU-T70OwTSI

Mkuu mtu mwenye chuki hata umpe video diamond anafanya shoo mbinguni,bado hatokubali tuuu...
Watu dizaini hiii ni kuwapuuza tuuu..
Walikazanaga oooh video ikitoka ntashinda YouTube(ili ionekane imetazamwa sana) wakasahau wako wachache,kitu kimewadodea.....bado kusaka kiki kwa chibu tuu.
 
Back
Top Bottom