Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Huyo ndio mzee Yusuf na Jahazi lake.

Labda wewe ni mgeni hapa mjini, hapo mfalme ni Mzee Yusuf.

King Kiba alikuwepo hapo?

Ikulu ya Mkwele hata Matonya angekwenda haina hadhi.

Ukikubaliwa na Mkwele jitazame upya mtakuwa mnafanana akili na ujinga. Ay alialikwa ikulu ya Obama.

Hao ni wapenzi wa Jahazi.

Mfalme hapo ni mzee Yusuf tu.

Duh! We kama sio Bob Junior basi utakuwa shemeji yake.
 
Ratiba iko full
 
Attachments

  • 1419608811768.jpg
    1419608811768.jpg
    78.7 KB · Views: 161
Lazma ujue kutofautisha kati ya mfalme wa kariakoo,mfalme wa pop East Africa na mfalme wa taarabu.

Labda kama unaongelea mfalme wa ngono East Africa, otherwise uwezi kumuweka Diamond na na Diamond tna mzee Yusuf tena mbagala halafu upime nani ana mashabiki wengi eti uniambie ni Diamond.

Tuacheni ujinga na sifa yma kipumbavu Diamond ni super star staq na ana ujiko mkubwa mkubwa lakinh kwa mashangingi na waswahili tena mbagala huo ulikuwa ni usiku wa mfalme Mzee Yusuf. Kaa ukijuwa mbagala siyo mlimani city.
 
du hizo chuki tu za wazi kabisa......

Bob hakuna mwenye chuki hapa, tunakuomba utupe orodha ya wasanii waliokuwepo kwenye hiyo show halafu wananchi wanaosoma hapa waone chuki niliyonayo. Labda wewe kwa upofu wako humjui Mzee Yusuf ni nani na Jahazi lake uliza uambiwe.
 
Na aliposhuka na helicopter naona na Mzee Yusuf alikuepo kumbe.....nimeamini una chuki binafsi na sio hoja....hoja zako hata mwanao wa chekechea anazipangua bila tabu.

Okey Jana watu walijaa kwajili ya Mzee Yusuf na sio Diamond,happy now???? Does that make you sleep at night????
 
Labda kama unaongelea mfalme wa ngono East Africa, otherwise uwezi kumuweka Diamond na na Diamond tna mzee Yusuf tena mbagala halafu upime nani ana mashabiki wengi eti uniambie ni Diamond.

Tuacheni ujinga na sifa yma kipumbavu Diamond ni super star staq na ana ujiko mkubwa mkubwa lakinh kwa mashangingi na waswahili tena mbagala huo ulikuwa ni usiku wa mfalme Mzee Yusuf. Kaa ukijuwa mbagala siyo mlimani city.

kwenye red hapo sijui nisemeje but lugha yako inaudhi sana,kumuita mwenzako mpumbavu eti sababu tu ya diamond au sijui ali kiba huo ni utoto tena zaidi ya utoto.
 
Chinga usitafute pa kutokea mpumbavu na mambo ya kipumbavu ni vitu viwili tofauti, Diamond ni Super star lakini kwa Tanzania huwezi kumlinganisha na Mzee Yusuf wala msanii mwingine yeyote yule.
 
Duuuh!!!no comment aseee
 
kwenye red hapo sijui nisemeje but lugha yako inaudhi sana,kumuita mwenzako mpumbavu eti sababu tu ya diamond au sijui ali kiba huo ni utoto tena zaidi ya utoto.
uwezo wake kihoja ni mdogo, mi nlitegemea ukiwa na uwezo mdogo kihoja halafu ukawa unashinda JF mara kwa mara unaongeza uwezo wako, lakini imekua tofauti kwa huyu bwana dah, IG na twitter wanasema SMH...! Anadhalilisha wakongwe wa JF kabisa
 
Bob hakuna mwenye chuki hapa, tunakuomba utupe orodha ya wasanii waliokuwepo kwenye hiyo show halafu wananchi wanaosoma hapa waone chuki niliyonayo. Labda wewe kwa upofu wako humjui Mzee Yusuf ni nani na Jahazi lake uliza uambiwe.
Kwahiyo yule anayepigiwa shangwe kwenye picha namba 3 & 4 ni mzee Yusuf sio? Na kama ungejuwa na uzoefu na show za Taarabu basi ungeifanyia tathimin hadhira iliyojaa hapo ukumbini kisha ukapata jibu jibu... labda kwa kukukumbusha tu, angalia ilivyokuwa 2012 hapo hapo Dar Live:
Dia2.jpg
 
Labda kama unaongelea mfalme wa ngono East Africa, otherwise uwezi kumuweka Diamond na na Diamond tna mzee Yusuf tena mbagala halafu upime nani ana mashabiki wengi eti uniambie ni Diamond.

Tuacheni ujinga na sifa yma kipumbavu Diamond ni super star staq na ana ujiko mkubwa mkubwa lakinh kwa mashangingi na waswahili tena mbagala huo ulikuwa ni usiku wa mfalme Mzee Yusuf. Kaa ukijuwa mbagala siyo mlimani city.
Tutumie akili za kawaida... hivi unataka kusema Taarabu ina mashabiki wengi kuliko Bongo Flavor? Hivi hiyo Mbagala yenyewe unaijua au unaisikia tu juu juu? Nani alikudanganya Mbagala wamejaa waswahili?
 
uwezo wake kihoja ni mdogo, mi nlitegemea ukiwa na uwezo mdogo kihoja halafu ukawa unashinda JF mara kwa mara unaongeza uwezo wako, lakini imekua tofauti kwa huyu bwana dah, IG na twitter wanasema SMH...! Anadhalilisha wakongwe wa JF kabisa

huyo jamaa ni shabiki wa wasanii wote duniani isipokuwa diamond.sijui kamfanyaje had ana mchukia
 
Husuda haina sababu... hoja yake kila siku eti Diamond malaya... yaani dume zima kila siku kutangaza umalaya wa wanaume wenzake kwenye mitandao... what a shame! Yaani huyu jamaa sijawahi kumsikia akiongea lingine zaidi ya kushadadia umalaya wa Diamond... mwanaume unaushikia bango umalaya wa mwanaume mwenzako!!!!
 
Chinga usitafute pa kutokea mpumbavu na mambo ya kipumbavu ni vitu viwili tofauti, Diamond ni Super star lakini kwa Tanzania huwezi kumlinganisha na Mzee Yusuf wala msanii mwingine yeyote yule.
Habari za kipumbavu haziwezi kufanywa au kuletwa na asiye mpumbavu kwahiyo ulichomaanisha ndicho hicho hicho...
 
Husuda haina sababu... hoja yake kila siku eti Diamond malaya... yaani dume zima kila siku kutangaza umalaya wa wanaume wenzake kwenye mitandao... what a shame! Yaani huyu jamaa sijawahi kumsikia akiongea lingine zaidi ya kushadadia umalaya wa Diamond... mwanaume unaushikia bango umalaya wa mwanaume mwenzako!!!!

kwani yeye ni bik.i.r.a wa kiume?na kama kaoa je alioa ndo akafanya mapenz?
 
Kwahiyo yule anayepigiwa shangwe kwenye picha namba 3 & 4 ni mzee Yusuf sio? Na kama ungejuwa na uzoefu na show za Taarabu basi ungeifanyia tathimin hadhira iliyojaa hapo ukumbini kisha ukapata jibu jibu... labda kwa kukukumbusha tu, angalia ilivyokuwa 2012 hapo hapo Dar Live:
View attachment 214148

Kaka huyu bwana ananipa mashaka juu ya zile shutuma huenda zikawa kweli aseee....ngoja niendelee kukusanya ushahidi.
 
Back
Top Bottom