Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Huyo ndio mzee Yusuf na Jahazi lake.
Labda wewe ni mgeni hapa mjini, hapo mfalme ni Mzee Yusuf.
King Kiba alikuwepo hapo?
Ikulu ya Mkwele hata Matonya angekwenda haina hadhi.
Ukikubaliwa na Mkwele jitazame upya mtakuwa mnafanana akili na ujinga. Ay alialikwa ikulu ya Obama.
Hao ni wapenzi wa Jahazi.
Mfalme hapo ni mzee Yusuf tu.
Duh! We kama sio Bob Junior basi utakuwa shemeji yake.
