Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Huyo ndio mzee Yusuf na Jahazi lake.
Labda wewe ni mgeni hapa mjini, hapo mfalme ni Mzee Yusuf.
King Kiba alikuwepo hapo?
Ikulu ya Mkwele hata Matonya angekwenda haina hadhi.
Ukikubaliwa na Mkwele jitazame upya mtakuwa mnafanana akili na ujinga. Ay alialikwa ikulu ya Obama.
Hao ni wapenzi wa Jahazi.
Mfalme hapo ni mzee Yusuf tu.
itakua unamchukia diamond kwa dhati kweli kweli duh, manake unavokanusha kua nyomi la DarLive halimuhusu ni kwa unazi kweli
Duh! We kama sio Bob Junior basi utakuwa shemeji yake.
Lazma ujue kutofautisha kati ya mfalme wa kariakoo,mfalme wa pop East Africa na mfalme wa taarabu.
du hizo chuki tu za wazi kabisa......
Bob hakuna mwenye chuki hapa, tunakuomba utupe orodha ya wasanii waliokuwepo kwenye hiyo show halafu wananchi wanaosoma hapa waone chuki niliyonayo. Labda wewe kwa upofu wako humjui Mzee Yusuf ni nani na Jahazi lake uliza uambiwe.
Labda kama unaongelea mfalme wa ngono East Africa, otherwise uwezi kumuweka Diamond na na Diamond tna mzee Yusuf tena mbagala halafu upime nani ana mashabiki wengi eti uniambie ni Diamond.
Tuacheni ujinga na sifa yma kipumbavu Diamond ni super star staq na ana ujiko mkubwa mkubwa lakinh kwa mashangingi na waswahili tena mbagala huo ulikuwa ni usiku wa mfalme Mzee Yusuf. Kaa ukijuwa mbagala siyo mlimani city.
kwenye red hapo sijui nisemeje but lugha yako inaudhi sana,kumuita mwenzako mpumbavu eti sababu tu ya diamond au sijui ali kiba huo ni utoto tena zaidi ya utoto.
Chinga usitafute pa kutokea mpumbavu na mambo ya kipumbavu ni vitu viwili tofauti, Diamond ni Super star lakini kwa Tanzania huwezi kumlinganisha na Mzee Yusuf wala msanii mwingine yeyote yule.
uwezo wake kihoja ni mdogo, mi nlitegemea ukiwa na uwezo mdogo kihoja halafu ukawa unashinda JF mara kwa mara unaongeza uwezo wako, lakini imekua tofauti kwa huyu bwana dah, IG na twitter wanasema SMH...! Anadhalilisha wakongwe wa JF kabisakwenye red hapo sijui nisemeje but lugha yako inaudhi sana,kumuita mwenzako mpumbavu eti sababu tu ya diamond au sijui ali kiba huo ni utoto tena zaidi ya utoto.
Kwahiyo yule anayepigiwa shangwe kwenye picha namba 3 & 4 ni mzee Yusuf sio? Na kama ungejuwa na uzoefu na show za Taarabu basi ungeifanyia tathimin hadhira iliyojaa hapo ukumbini kisha ukapata jibu jibu... labda kwa kukukumbusha tu, angalia ilivyokuwa 2012 hapo hapo Dar Live:Bob hakuna mwenye chuki hapa, tunakuomba utupe orodha ya wasanii waliokuwepo kwenye hiyo show halafu wananchi wanaosoma hapa waone chuki niliyonayo. Labda wewe kwa upofu wako humjui Mzee Yusuf ni nani na Jahazi lake uliza uambiwe.
Tutumie akili za kawaida... hivi unataka kusema Taarabu ina mashabiki wengi kuliko Bongo Flavor? Hivi hiyo Mbagala yenyewe unaijua au unaisikia tu juu juu? Nani alikudanganya Mbagala wamejaa waswahili?Labda kama unaongelea mfalme wa ngono East Africa, otherwise uwezi kumuweka Diamond na na Diamond tna mzee Yusuf tena mbagala halafu upime nani ana mashabiki wengi eti uniambie ni Diamond.
Tuacheni ujinga na sifa yma kipumbavu Diamond ni super star staq na ana ujiko mkubwa mkubwa lakinh kwa mashangingi na waswahili tena mbagala huo ulikuwa ni usiku wa mfalme Mzee Yusuf. Kaa ukijuwa mbagala siyo mlimani city.
uwezo wake kihoja ni mdogo, mi nlitegemea ukiwa na uwezo mdogo kihoja halafu ukawa unashinda JF mara kwa mara unaongeza uwezo wako, lakini imekua tofauti kwa huyu bwana dah, IG na twitter wanasema SMH...! Anadhalilisha wakongwe wa JF kabisa
Husuda haina sababu... hoja yake kila siku eti Diamond malaya... yaani dume zima kila siku kutangaza umalaya wa wanaume wenzake kwenye mitandao... what a shame! Yaani huyu jamaa sijawahi kumsikia akiongea lingine zaidi ya kushadadia umalaya wa Diamond... mwanaume unaushikia bango umalaya wa mwanaume mwenzako!!!!huyo jamaa ni shabiki wa wasanii wote duniani isipokuwa diamond.sijui kamfanyaje had ana mchukia
Habari za kipumbavu haziwezi kufanywa au kuletwa na asiye mpumbavu kwahiyo ulichomaanisha ndicho hicho hicho...Chinga usitafute pa kutokea mpumbavu na mambo ya kipumbavu ni vitu viwili tofauti, Diamond ni Super star lakini kwa Tanzania huwezi kumlinganisha na Mzee Yusuf wala msanii mwingine yeyote yule.
Husuda haina sababu... hoja yake kila siku eti Diamond malaya... yaani dume zima kila siku kutangaza umalaya wa wanaume wenzake kwenye mitandao... what a shame! Yaani huyu jamaa sijawahi kumsikia akiongea lingine zaidi ya kushadadia umalaya wa Diamond... mwanaume unaushikia bango umalaya wa mwanaume mwenzako!!!!
Kwahiyo yule anayepigiwa shangwe kwenye picha namba 3 & 4 ni mzee Yusuf sio? Na kama ungejuwa na uzoefu na show za Taarabu basi ungeifanyia tathimin hadhira iliyojaa hapo ukumbini kisha ukapata jibu jibu... labda kwa kukukumbusha tu, angalia ilivyokuwa 2012 hapo hapo Dar Live:
View attachment 214148
huyo jamaa ni shabiki wa wasanii wote duniani isipokuwa diamond.sijui kamfanyaje had ana mchukia