Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Matola vipi tena? Mie na hayo mambo wapi na wapi? Mie nimeuliza kuwa nimesikia walikuwepo na wengine mbona anatajwa mmoja tuu? Kosa langu liwapi hapo? Kazi ya huyo kijana hata mie naiona na nafurahishwa na juhudi zake ila nilitaka kujua hilo tuu.
Nimekuelewa vyema ila ukipingana nao wanakuita hater, Mzee Yusuf na Jahazi lake wana uwezo wa kujaza hiyo Dar live bila uwepo wa msanii mwingine.
Wanapenda umaarufu ila hawapendi kulipia gharama za umaarufu.
Attachments
Last edited by a moderator: