data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Like a father like a son
yess,,, I agree ....like my son/daughter.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Like a father like a son
yess,,, I agree ....like my son/daughter.
Wote hamnazo,
Shemale kid?anyways kuna nyimbo watoto wanapenda sana,kama za mr.nice!Ya chameleon haijui does it mean chameleon hana soko la mziki?@Matola njoo ucheke?
you could never be any better...!!
And you could never say anything better!!son/kid?realy sasa hiyo jinsia gani?
Diamond Sawa na nembo ya Taifa.
Mimi naona sio vibaya kumsifia mpenzi wake,na sio busara kuwaponda waliopita.Mengine tuwaachie wenyewe (diamond & Zari)
Sasa nahii nayo habari ya kupost jamani?
Diamond yupo tu na ally kiba yupo tu, issue ya mtoto kutaja Diamond haimaanishi lolote ni urahisi wa kutamka maneno tu kama anavyoweza kuita mama na sio baba, jina la baba kwa mtoto hua linaanza kusikika baadae sana lakini haina maana kwamba baba hana umuhimu kwa mtoto
kumbe na wewe una akili kama za mtoto wako kiba anapendwa na watu timamu wanaojitambua na sio wacheza vigodoro sasa jitambue upo kundi gani