Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Matola vipi tena? Mie na hayo mambo wapi na wapi? Mie nimeuliza kuwa nimesikia walikuwepo na wengine mbona anatajwa mmoja tuu? Kosa langu liwapi hapo? Kazi ya huyo kijana hata mie naiona na nafurahishwa na juhudi zake ila nilitaka kujua hilo tuu.
Huyo hater tuu...hana jipyaa....nashangaa mnampa airtime humuu...
Kuna watu wana IQ ya chini sana ... mi roho inaniuma kuona mtanzania mwenzangu anasifia upuuzi na bado kuna wenzake wanamsupport....thread za kitoto zimejaa kibaoo JF now a days.....watu wengi tumekuwa wavivu wa fikra....
Bila shaka utasema hata mwandishi wa udaku huu ni Matola, umaarufu una gharama zake unapaswa kufahamu.
Kuna ushamba fulani imetawala vichwa vya baadhi watu humu, ukute mleta thread hata Dar Live hajawahi kufika, na anaungwa mkono na mtu anaishi Mwanza naye Dar Live haijui, huo ndo msingi wa haya matatizo.
Na wengine wameanza juzi tu kufuatilia huu muziki, zamani walikuwa busy na mchiriku/mnanda kwa hiyo hata wakati Juma Nature anajaza Diamond Jubilee kubwa wakati anazindua album ya ugali, kiasi kwamba hadi watu walizuiwa kuingia, wao walikuwa kwenye mikesha ya mchiriku.
Ninachoona mimi unachoandika kwenye thread ndio kinakutambulisha ulivyo na upeo wako unakoishia. Angalau uwe unatumia kutafakari kabla ya kupost kitu, vingine vinaweza kukushusha kabisa kama kilichotokea kwa mleta thread hii na wanaomuunga mkono.
Sasa kujaa Dar Live, tena kwa show ya sikukuu ya kidini nako unakufanya ni maajabu?! Lazima tukudharau.
Ova
day after day reasoning yako inazidi kushuka what z wrong kaka?
Mkuu ukiwepo uwa unakuwa mwalimu tosha na isitoshe kwa wale wa mikoani wakae wakijuwa uswahilini Dar anapofanya show mfalme Mzee Yusuf na Jahazi lake hata umlete Jay Zee wananchi hawakuelewi ni mwendo wa Alamba Alamba Alamba haaam haaam × 2
Fact hata anayempenda Diamond na ni mtoto wa mjini hawezi kufuata show ya Diamond Mbagala.
Sugu ni mchizi wangu lakini show yake ya mwisho mbagala nilimwambia wazi i will mis the show siwezi kwenda na ile foleni ya magari pale Zakhem ndio kabisa inaniongezea kichefuchefu.
Aisee una mtoto kilaza
Nimetulia tu hapa home saafi na family.. Nikaamua zicheza video mpya nilizozidownload mpya mpya.
Sasa nikaanza icheza ya DIAMOND - NTAMPATA WAPI...
Nikashaangaa sana , mwanangu 3 yrs now akapiga kelele , damondi, damondi., aisee.
Nikasema isiwe kesi nikaiplay na mwana ya ALLY.., nkamuuliza na huyu nani.,,
akajibu SIMJUI, SIMJUI, SIMJUIII...,
hahahaha.. NIMECHEKA SANA, AFU NIKAJIULIZA INA MAANA MWANANGU ANAAKILI KULIKO WATU WAZIMA.
AISEE.
mwanao ni wa kiume au wa kike?
I will be back.