Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Huo ni umalaya tu...mrudie Mungu watoto wetu wa kike sio wa kuchezea hivyo muda si mrefu utajutia ....yetu macho.
 



Huyuu jamaa kaiba mawazo yangu aseee......mm ni miongoni mwa watu alionifanya nichague upande....kudai KITI kina vumbi,kwa lipi hasa???? Toka kaanza muziki ana tuzo ngapi ndani ya hiyoo miaka???? Mfalme my foot....wenzake wanabeba mituzo kila iitwapo Leo yeye kakalia kusikiliza baadhi ya wavuta unga na wala kubeli etii anakubalika,kwa research ipii???? Na yeye alivokua na kiburi akadhani zile vurugu za wavuta bangi fiesta ndo anakubalika Tanzania nzima na kwamba kafanikiwa kumzima chibu......hiloo lilitosha kabisa mm kumshusha huyuu kibaka kwamba hana tena kitu.....unaanzaje kurudi kwenye game huku target yako ikiwa mwanamuziki mwenzako???? Ni sawa na chama cha upinzani kianzishwe na target yakee iwe chama kingine cha upinzani(mfano act na chadema)....nilishasema alitakiwa arudi tuuu kama alivokua akirudi siku zote na nikasema haikua mara ya kwanza kwake yeye kusimama kisha kurudi kwa game...
Kingine ambacho nakiona ni unafki wa huyuu jamaa....jamaa nii mnafki na anajua kucheza na akili za mapoyoyo fulanii....unakuta akihojiwa oooh huwa naskiliza mdogo mdogo....siku diamond kazomewa kajamaa kanajinafkisha etii miongoni mwa watu waliofanya poa ni fa na weusi na KINA DIAMOND....yaani ilii kiteke attention ya mapoyoyo na kweli yakatekwa etii ooh hana makuu kaka wa watu hahaha..
Pia ikumbukwe huyuu jamaa hajakaa miaka mitatu kama anavoaminisha watu ni miwili....single boy kwani si ya 2012???? Sasa 14 toa 12 nii tatu???? Halafu hakua kimya coz kollabo amefanya(ingawa hazikuvuma kama kollabo za dai,ukibisha sawa) so jamaa was around sema ndo nyota imefifia tayari na hivii anavolazimisha ndo kabisaaa...

Mwisho niseme najitoa team chibu mpaka atapopata mpinzani mzuri hapa bongo...tuzo sita za kimataifa ndani ya mwaka mmoja ndo sawa na idadi au inazidi idadi ya tuzo za mfalme wa kina mwafulani toka kaanza game nasema sitaki uonevu naachana na hiii team nyanyasajiii....


Nilitaka sahau,mwambieni nae aige la kupiga live....asanteni
 
Chinga One nimeipenda sana hilo andiko la Florian Mgeni
Ama hakika hapo ndipo Ali Kiba alichemka, Alikiba alitakiwa aache kwanza kazi zake zijitangaze na kukubalika ndio aanze matambo lakini hii ya kutoka ukimya na kuja kuanzisha ushindani na mtu ambaye yupo level zingine kabisa kumempa wakati mgumu sana kiba
Kila atakacho fanya basi watu watalinganisha na hasimu wake chibu, na kila chibu atakachofanya basi watu watataka kiba afikie huko pia..... Huu ni mtihani mgumu sana
Ni kweli watu wanampenda sana kiba lakini kazi zake za sasa zinamezwa na kazi za chibu alieamzisha ushindani naye
Chibu hapendwi sana na watz kama kiba isipokua kazi za diamond ndio zinapendwa na watz na nje ya tz

Diamond ni mfanyabiashara haswa wa muziki unaambiwa kwenye hazina yake ana masong kama manne hivi amewashirikisha wasanii wakubwa Afrika kama Mafikizolo, Yemi Alade nk, anasubiri perfect time then ataachia taratibu kulingana na wakati

Nilikuwepo Fiesta na nilishangaa sana jinsi wadau bila hata kujitambua wanamzomea chibu hata sababu za msingi hamma, kiba hawezi kuwa juu sababu watu wanampenda atakua juu tu kama kazi zake zitakidhi matarajio
Yaliojiri baada ya zomea ya fiesta ni majibu kintu kwa kiba kwamba huitaji kushangiliwa fiesta tu

Video ya mwana nimeiona kusema kweli ni nzuri kwa maana ya quality lakini sasa kwasababu kiba na funs wake wmetujengea ushindani wa kungalia kazi kishindani basi utaona kwenye hii video ya kiba kuna kitu kina miss
Lakini kama angekua kaitoa dimpoz tungeiona ya kawaida na nzuri

Kiba anapaswa kuishi kama barnaba au dimpoz au mavoko na si kutaka kumshisha diamond alipo akiamini anasthili kuwa yeye......hili ni kosa kubwa linalomgharimu kiba
 
Last edited by a moderator:

ukimdis kiba we ni choko ivo yan msifie uyo domo bila kumdic kiba
 
ukimdis kiba we ni choko ivo yan msifie uyo domo bila kumdic kiba

Wewe ndio yule Rio wa fasheni anaekata mauno na pichu???? Bhasi unanipa mashaka juu ya tuhuma za kiba na mdogo wake dhidi ya kale kamchezo haramu.........kama ana mashabiki dizaini yako hiii hatari aseee????





Niruhusu nikupuuze.
 
Wewe ndio yule Rio wa fasheni anaekata mauno na pichu???? Bhasi unanipa mashaka juu ya tuhuma za kiba na mdogo wake dhidi ya kale kamchezo haramu.........kama ana mashabiki dizaini yako hiii hatari aseee????





Niruhusu nikupuuze.

Jipuuze mwenyewe kiba ana watoto 3 kaprove kama ni lijali ila uyo domo hana hata wa kusingiziwa teh yale yale ya kanumba
 
labda umlinganishe diamond na jay dee coz wote wana mafankio makubwa ktk industry ya muziki, pia wameteka game tangu uwepo wao and last thing ni mkwanja walionao.... ila kwa wasanii wa kiume bado sanaaaa.. binafsi nna mapenzi binafsi na Barnaba japo hamfikii diamond
anyway, waje wakosee tu waandae shows mbili maeneo tofauti one for diamond and the rest for ali kiba, trust me.... kitakachomkuta Ali kiba ni zaidi ya kilichomkuta FA the finest, against lady jay dee anaconda
sikuzote takwimu hazidanganyi..... check idadi ya nyimbo za diamond dhidi ya nyimbo za ali kiba... mafanikio ktk awards...... shows za nje ya nchi..... idadi ya fans.... utengenezaji wa pesa.... kutawala jukwaa... collaboz.... videos kali....
anyway ali kiba anamfunika diamond kwa uzuri wa sura na watoto...bhaaaaas kama wana act movie ali kiba staring, diamond zombie.......!!
 
Ajabu ya wengine hata ukiwauliza mafanikio ya mtu wanayeamini ndie mfalme ni yapi hakuna hata mmoja atakayekupa jibu... hakuna cha kuonesha!! Wengine wamekuwa wakizungumzia suala la collabo na R Kelly wakati wenye akili zao wanafahamu kwamba collabo ile Airtel wangeweza kumchagua yeyote yule waliyemtaka kwa sababu ilikuwa initiated na Airtel kwa sababu maalum sawa na ile collabo ambayo Diamond amefanya na wanamuziki wengine wa Afrika pamoja na nguli De Banji... ni collabo kwa sababu maalum iliyoandaliwa na wahitaji wa malengo husika!!! Thanks God, mashabiki wa Diamond ni waelewa, au labda ni kwavile wameshazoea mambo makubwa lakini sijawahi kusikia mtu akijivinia collabo ya Chibu, De Banji na wengineo coz' wanafahamu anyone could be picked! Anyway, kwavile wapwa hawana cha kujivunia, haidhur wakiendelea kuonea ufahari collabo na R Kelly ambayo hata Kiba mwenyewe ukimuuliza imemnufaisha nini, sijui kama ana jibu zaidi ya kukutana R Kelly ambae hata hivyo leo hii ukienda kumuuliza ikiwa anamfahamu Kiba, atasema wala hamkumbuki coz' anakutana na watu wengi sana!!!

"Ujiko" mwingine wa wapwa ni kwamba R Kelly alimsifia Kiba kwamba anaimba vizuri... did anyone expected Kelly angeongea vitu negative kwa any of those guys?! I am very certain, credit ambayo aliitoa kwa Kiba aliitoa kwa wengine vilevile!!!
 
nami siku izi nawakubali majambaz kweli kweli kwahiyo sababu itayonifanya niangalie hiyo muvi ni hilo zombi
 
Ufreemasson pia umo
nyi ndo ambao mnafanya Ali Kiba achukiwe na washabiki wa diamond, Hamna research mnakuja kuweka mawazo..! Halafu JF ni kwa ajili ya wasomi tu hizo conspiracies/allegations za ufreemason tushaachaga kujadili humu..Hata hivyo huu uzi ni kwa ajili ya watu wa Nasibu na kwa muono wangu we si mmoja wao, tukianza kuwaimbia " Mwendawazimu Kaingiaje " muanze kusema tunawatukana kumbe mmeyataka wenyewe...Ndugu yangu waachie wenye uzi wao wafanye yao kiroho safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…