mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Ni nzuri kwa muziki wetu, tumekuwa kwa kweli.
Siku zote nasikia project project kumbe ndo hiyo
Sisi hatu angalii nani mkali kati ya dai na kiba at radio one.....ukali uko huku.
Duuuuh hii sasa sifa!!
Simpendi hata tone Lkn hapo nampa big up... hardwork pays!!!