Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

kwa mujibu wa orodha ya 2014 ya vitu vilivyotafutwa zaidi kwenye Google ndani ya Tanzania.

Diamond yupo kwenye kumi bora, akiwa ni mtu pekee kwenye hiyo kumi bora akimfunika mpaka rais wetu Kikwete.
 
Siku zote nasikia project project kumbe ndo hiyo

uknw Mimi ni celebrity mkubwa Tanzania hivyo wasanii wengi wananiomba ushauri uknw! Diamond nilimpa ushauri lakini supergadem mazafantaz hawaamini na wananionea wivu uknw!....
Uknw sasahivi Niko mapunzikoni Arusha kama una wivu kufwa for me
 
kazi yule anafanya. kwa kujituma sana na nyota yake ime ng'aa sana pengine kama wako jako..
 
Hongera sana diamond.
Naomba tumpongeze kijana huyu kwa mafanikio yake ya kimuziki
 

Attachments

  • 1419935907669.jpg
    1419935907669.jpg
    71.3 KB · Views: 711
yani huyu zari nikiangalia picha yake tu,mi huku ......
 
Kijana kafunika Kigali
 

Attachments

  • 1420151184767.jpg
    1420151184767.jpg
    87.4 KB · Views: 188
  • 1420151199288.jpg
    1420151199288.jpg
    84.6 KB · Views: 164
Back
Top Bottom