Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #3,261
Wakuu wote humu ndani tukiongozwa na mleta Uzi Chinga One niwapongeze kwa Yale ya mwaka jana na niwatakie heri ya mwaka mpya 2015.
Naomba niseme jamaa anapata ushauri wetu sana..maana nakumbuka ushauri uliojaa sana last year kuanzia kwa post yangu hiii ya "diamond na yemi" na humu ilikua ni kuhusu kupiga live.
Nashukuru ushauri wetu jamaa kaupokea na show ya dar live ndio ilikua live ikafuatiwa na Bujumbura na Kigali.
Hivyo niwaombe this year sisi tupige kazi ya kupongeza na kushauri tu ili kijana aendelee kujiimarisha zaidi....majisifu tuwaachie wengine maana "kizuri chajiuza..........."
Hongereni sana guys.
Happy new year.
Wale wa povu pia ruksa kucomment.......

heri nawe mkuu, pamoja sana! muziki wa live una raha yake mkuu, hapa najipanga niweze kufika kwenye show yake ya diamonds are foreverWakuu wote humu ndani tukiongozwa na mleta Uzi Chinga One niwapongeze kwa Yale ya mwaka jana na niwatakie heri ya mwaka mpya 2015.
Naomba niseme jamaa anapata ushauri wetu sana..maana nakumbuka ushauri uliojaa sana last year kuanzia kwa post yangu hiii ya "diamond na yemi" na humu ilikua ni kuhusu kupiga live.
Nashukuru ushauri wetu jamaa kaupokea na show ya dar live ndio ilikua live ikafuatiwa na Bujumbura na Kigali.
Hivyo niwaombe this year sisi tupige kazi ya kupongeza na kushauri tu ili kijana aendelee kujiimarisha zaidi....majisifu tuwaachie wengine maana "kizuri chajiuza..........."
Hongereni sana guys.
Happy new year.
Wale wa povu pia ruksa kucomment.......
Wakuu wote humu ndani tukiongozwa na mleta Uzi Chinga One niwapongeze kwa Yale ya mwaka jana na niwatakie heri ya mwaka mpya 2015.
Naomba niseme jamaa anapata ushauri wetu sana..maana nakumbuka ushauri uliojaa sana last year kuanzia kwa post yangu hiii ya "diamond na yemi" na humu ilikua ni kuhusu kupiga live.
Nashukuru ushauri wetu jamaa kaupokea na show ya dar live ndio ilikua live ikafuatiwa na Bujumbura na Kigali.
Hivyo niwaombe this year sisi tupige kazi ya kupongeza na kushauri tu ili kijana aendelee kujiimarisha zaidi....majisifu tuwaachie wengine maana "kizuri chajiuza..........."
Hongereni sana guys.
Happy new year.
Wale wa povu pia ruksa kucomment.......
heri nawe mkuu, pamoja sana! muziki wa live una raha yake mkuu, hapa najipanga niweze kufika kwenye show yake ya diamonds are forever
Nawe pia Innocizy le super fan, muzee ya mapichaaa...mwaka huu uwe mwema kwako...
Hahahaha nmecheka kwa sauti mpaka nimeulizwa vipii....ikabidi nijibu "panya road" hahahaa maana ningesema jf ingekua hatari...
Nashukuru sana.
Hahahaaaa....
Watu na mahaba yaoooo... chibu anajua kutukomesha jamani uwii ndimu zimeisha sa sijui tulambe mbilimbiiii... cc: Kim nana Dinazarde
View attachment 215664
View attachment 215662
Chibu anayajua mahaba nilegezeee...kambebea mkoba eti....natamanije mieee
Wanaume wote wangekuwa hivi mmmh ngenenepa mieee
Wee acha tuu...hapo unapumbazwa unapumbazika. Ila wanaume wa kigoma ndo zao, wanapenda hao, wanajali hasaaa ila wivuuuuuu.....