Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
- #3,261
Wakuu wote humu ndani tukiongozwa na mleta Uzi Chinga One niwapongeze kwa Yale ya mwaka jana na niwatakie heri ya mwaka mpya 2015.
Naomba niseme jamaa anapata ushauri wetu sana..maana nakumbuka ushauri uliojaa sana last year kuanzia kwa post yangu hiii ya "diamond na yemi" na humu ilikua ni kuhusu kupiga live.
Nashukuru ushauri wetu jamaa kaupokea na show ya dar live ndio ilikua live ikafuatiwa na Bujumbura na Kigali.
Hivyo niwaombe this year sisi tupige kazi ya kupongeza na kushauri tu ili kijana aendelee kujiimarisha zaidi....majisifu tuwaachie wengine maana "kizuri chajiuza..........."
Hongereni sana guys.
Happy new year.
Wale wa povu pia ruksa kucomment.......
Pamoja sana mkuu.

