Ambition Boy
Senior Member
- Sep 24, 2014
- 146
- 27
Kaka kama hujui kaa kimya tuu
Ww ndio ujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka kama hujui kaa kimya tuu
cd yenye collection naweza kununua hata kwa 50,000/-..........hivi kwani hawatengenezi kitu kama 'DIAMOND TOP 10 HITS' AUDIO/VIDEO CD COLLECTION??? Mpaka tunaenda kuburn vibandani?!
Kaka kama hujui kaa kimya tuu
aisee hizo huwa zinatengenezwa na wahuni asee
Hizi nyimbo wakibanagwa huwa wanaziimba bhasi tuu chuki hahaha
mW aka huu lazima.wakae tena new song sooonmambo kama haya ndo yanafanya mtaa wa saba ujae husda na chuki hahaha
Diamond- Congo and Burundi Tour (full concert) - YouTube
unajua nn sisi hatuwezi shindana nao hayo mashindano ya kipuuzi, tufanye yetu maana wangekuwa sane hata kidogo wagendua kuwa dimond ndo anayejaza jukwaa hili sio thread...almost thread zote za jukwaa hili zinamuhusisha dai sasa ya nn tuzungumzie thread
Mpigie kwanza kura ndo tuendelee na maongezi.
Mkono mtupu haulambwi.
tatizo mi badooooo.
....
nilipo teleza nikosea sipajuiiiiii mpakaaaaaa
Atapiga siku ya mwaka mpya....wengine mwaka mpya watakua leaders labda hahahahaha......mtu anaenda kupiga amahoro stadium juu kakaa Kagame,si mchezo atiiiii
akafunga viragoooo
na akaamua kuondoka............
..akafunga viragoooo
na akaamua kuondoka............
marhabaa...hawa watoto huwa tunawasikiliza kimya kimya na tunawakubali......sasa watu wakianza kuwaponda kwa chuki binafsi haivumiliki....dogo anajitahidi yuko vizuri
Wamuache kijana Avune alicho Panda,Chuki hazisaidi lolote sana sana kujiumiza tu.
hahaaaaaaa sheeedeeerrr
Wivu ni tabia mbaya mtu akijuma mwache avune anachopanda isitoshe anatuburudishaaa
Hahahahahahaha noumer i like this song mpaka naumwa