Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda waswahili husema
ndo inavotakiwa ivooMimi sha piga zote teh teh
..
.kibaya kinachoniumiza maneno manenooo du rahaaa kumusikiliza huyu jamaa
sichokagi kumsikiliza aisee anajuaaaaa
yaaa jamaa yuko vizutriii
sanaaaaa!....aachie ilo jimbo jipya awazibe midomo haters
Dangote for real
kunamijitu itakuwa inashindia ndimu hahahaha wengine piga kelele
kibaya kinacho niumiza maneno maneno mara kwa ndugu rafiki kwa nini anawapa misemooo......
.kibaya kinachoniumiza maneno manenooo du rahaaa kumusikiliza huyu jamaa
kibaya kinacho niumiza maneno maneno mara kwa ndugu rafiki kwa nini anawapa misemooo....
Mchizi kwa pamba ndo usisemeeee wapiiii alievaa moka hhhhhhhaaaa
Mchizi kwa pamba ndo usisemeeee wapiiii alievaa moka hhhhhhhaaaa
hatariiiiiiii kiba chaliiiiiiii8
Anajua kuzitupia hatariiiii