mambo c ndo hayo... we hujui kwamba kuna mtoto humu namlia mingo kwahiyo inabidi nijipaishe ili niue tembo kwa ubua...
Hahahaa..halafu nlisahau, ujue wanaume wa mchinga wanapenda sana, full kubeba handbag kama Diamond, yani mahaba mazito kama neneee....!
Yani hao kigoma wanasubiri. ..
salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam kwenu
Halafu leo nilikuwa najiuliza kwamba huyu mtoto yupo wapi... yaani nilikuwa natarajia kutuma salama hivi punde...salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam kwenu
OMG! This Diamond thing, is killing his rivals softly....​Diamond Platnumz
Liked · 25 mins ·A pre Rehearsal for the Glo-CAf Awards....Ndugu zangu kijana wenu niko hapa salama kabisa, na leo nlianza hatua za Mwanzo za Kulikagua Jukwaa.....kauli yetu mbiu ni moja tu "Afe Dancer afe Msanii, lakini Shangwe Lazima..!"
Halafu leo nilikuwa najiuliza kwamba huyu mtoto yupo wapi... yaani nilikuwa natarajia kutuma salama hivi punde...
Ewaaaaah!! Sasa mimi na wewe tutafahamiana vizuri... mambo c ndo hayo bhana! Sio oh, wanaume wa mchinga full jeuri; aaaaaaaargh... mbona ulitaka kunirushia ndege wangu manake hilo jeuri ni kweli lipo full halipo!!!!!Hahahaa..halafu nlisahau, ujue wanaume wa mchinga wanapenda sana, full kubeba handbag kama Diamond, yani mahaba mazito kama neneee....!
Yani hao kigoma wanasubiri. ..
We nawe... unajua kabisa kwamba nisipokuona kwa cku kadhaa huwa najisikia kama kuugua ugua hivi halafu hapa unataka kujishaua ili mradi tu niongee la moyoni, aaaaargh... mambo gani haya! Sasa kama upo madongo kuinama. mbona hivi sasa upo hewani? Au nyie ni wale mnaoendaga kutambika mwisho wa mwaka na sasa umepanda juu ya mti wa kahawa kwa ajili ya kudaka network!Niko mabonde kuinama huku internet ni shidaaa...... kumbe ulimis uwepo wangu LOL
Hahahaa..halafu nlisahau, ujue wanaume wa mchinga wanapenda sana, full kubeba handbag kama Diamond, yani mahaba mazito kama neneee....!
Yani hao kigoma wanasubiri. ..
We dadangu Kim nana, c unaona sasa mambo yanajiseti taratiiiiiibu kuliko ulivyokuwa unataka kuharibu! Basi nikuambie Eshy, mie hadi kuogesha mtoto sioni taabu kabisa sema kwenye kukuna nazi itabidi unisamehe manake zile pozi za wakati wa kukuna nazi; mnh... hapana aisee!kumbeeee... ndukii kumsaka mmachinga
We dadangu Kim nana, c unaona sasa mambo yanajiseti taratiiiiiibu kuliko ulivyokuwa unataka kuharibu! Basi nikuambie Eshy, mie hadi kuogesha mtoto sioni taabu kabisa sema kwenye kukuna nazi itabidi unisamehe manake zile pozi za wakati wa kukuna nazi; mnh... hapana aisee!
Unaona sasa... tena mia saba tu! Kwahiyo kumbe hata gogoro hakuna...hahaaaa nazi bahresa katurahisishia
Unaona sasa... tena mia saba tu! Kwahiyo kumbe hata gogoro hakuna...
kumbeeee... ndukii kumsaka mmachinga
We dadangu Kim nana, c unaona sasa mambo yanajiseti taratiiiiiibu kuliko ulivyokuwa unataka kuharibu! Basi nikuambie Eshy, mie hadi kuogesha mtoto sioni taabu kabisa sema kwenye kukuna nazi itabidi unisamehe manake zile pozi za wakati wa kukuna nazi; mnh... hapana aisee!
Niko mabonde kuinama huku internet ni shidaaa...... kumbe ulimis uwepo wangu LOL
​Diamond Platnumz