Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

mambo c ndo hayo... we hujui kwamba kuna mtoto humu namlia mingo kwahiyo inabidi nijipaishe ili niue tembo kwa ubua...

Hahahaa..halafu nlisahau, ujue wanaume wa mchinga wanapenda sana, full kubeba handbag kama Diamond, yani mahaba mazito kama neneee....!
Yani hao kigoma wanasubiri. ..
 
Liked · 25 mins ·
A pre Rehearsal for the Glo-CAf Awards....Ndugu zangu kijana wenu niko hapa salama kabisa, na leo nlianza hatua za Mwanzo za Kulikagua Jukwaa.....kauli yetu mbiu ni moja tu "Afe Dancer afe Msanii, lakini Shangwe Lazima..!"

10888518_865608106794338_4110221570107263977_n.jpg
 
OMG! This Diamond thing, is killing his rivals softly....
 
Hahahaa..halafu nlisahau, ujue wanaume wa mchinga wanapenda sana, full kubeba handbag kama Diamond, yani mahaba mazito kama neneee....!
Yani hao kigoma wanasubiri. ..
Ewaaaaah!! Sasa mimi na wewe tutafahamiana vizuri... mambo c ndo hayo bhana! Sio oh, wanaume wa mchinga full jeuri; aaaaaaaargh... mbona ulitaka kunirushia ndege wangu manake hilo jeuri ni kweli lipo full halipo!!!!!
 
Niko mabonde kuinama huku internet ni shidaaa...... kumbe ulimis uwepo wangu LOL
We nawe... unajua kabisa kwamba nisipokuona kwa cku kadhaa huwa najisikia kama kuugua ugua hivi halafu hapa unataka kujishaua ili mradi tu niongee la moyoni, aaaaargh... mambo gani haya! Sasa kama upo madongo kuinama. mbona hivi sasa upo hewani? Au nyie ni wale mnaoendaga kutambika mwisho wa mwaka na sasa umepanda juu ya mti wa kahawa kwa ajili ya kudaka network!
 
Hahahaa..halafu nlisahau, ujue wanaume wa mchinga wanapenda sana, full kubeba handbag kama Diamond, yani mahaba mazito kama neneee....!
Yani hao kigoma wanasubiri. ..

kumbeeee... ndukii kumsaka mmachinga
 
kumbeeee... ndukii kumsaka mmachinga
We dadangu Kim nana, c unaona sasa mambo yanajiseti taratiiiiiibu kuliko ulivyokuwa unataka kuharibu! Basi nikuambie Eshy, mie hadi kuogesha mtoto sioni taabu kabisa sema kwenye kukuna nazi itabidi unisamehe manake zile pozi za wakati wa kukuna nazi; mnh... hapana aisee!
 
Last edited by a moderator:

hahaaaa nazi bahresa katurahisishia
 
Last edited by a moderator:
Wadau... kuna mtu kaniambia Clouds FM walitangaza kwamba Show ya akina Diamond Nigeria itaoneshwa nadhani na DSTV or station nyingine(am not sure)! Je, kuna mtu ambae alisikia hiyo info? Kama Yes, ni kituo gani na wakati gani manake sipati picha Chibu atakavyohakikisha anaitumia hiyo nafasi! I would love also to see Diamond and Davido wakiwa jukwaa moja... I hope it can happen.
 
We dadangu Kim nana, c unaona sasa mambo yanajiseti taratiiiiiibu kuliko ulivyokuwa unataka kuharibu! Basi nikuambie Eshy, mie hadi kuogesha mtoto sioni taabu kabisa sema kwenye kukuna nazi itabidi unisamehe manake zile pozi za wakati wa kukuna nazi; mnh... hapana aisee!

Usijali...Ukishindwa nipe kibarua....ataelewa tuu...

Halafu ujue south ndo mapenzi yalikozaliwaa ila kabla hayajamaliza 40 yakaenda Tangaaa....
 
Last edited by a moderator:

Liked · 25 mins ·
A pre Rehearsal for the Glo-CAf Awards....Ndugu zangu kijana wenu niko hapa salama kabisa, na leo nlianza hatua za Mwanzo za Kulikagua Jukwaa.....kauli yetu mbiu ni moja tu "Afe Dancer afe Msanii, lakini Shangwe Lazima..!"

10888518_865608106794338_4110221570107263977_n.jpg

All the best Chibu
 
Back
Top Bottom